Inakuwaje mke wa mtu unatongozwa na unakubali then later unaasema shetani amekupitia?

herbsman

Member
Apr 29, 2011
81
57
hakuna kitu kinauma kama kujua mkeo ana uhusiano na mwanaume mwingine na she is in a serious relationship.nimefukuzwa kwenye nyumba ya kupanga na baba mwenye nyumba baada ya kujua mama mwenye nyumba ana hisia kwangu nami sijui hilo nimejua baaba ya kutoka na mama mwenye nyumba kunitumia txt za mahaba.for god sake, kwa nini upo kwenye ndoa na unapenda vijana?
 
Kuna mwana JF aliwahi ku-quote mahala kuwa binadamu ni mnyama, ingawa anatofautiana na wanyama wengine kama mbwa, tembo kutokana na utashi. Sasa siyo suala jipya inapotokea binadamu akafanya mapenzi na mtu mwingine kwa kuwa ni sehemu ya asili yake. Unajua wote huwa tunatamani aina tofauti tofauti. Cha muhimu ni kujizuia tu ili kulinda heshima.
 
hizo ndio ndoa za modern day....kila mtu anataka kuwa na sumthing pembeni bana
 
Heading na details za ujumbe haziendani unataka kujua kutongozwa kwa wanawake walio kwenye ndoa na kukubali ama unataka suluhisho la wewe kutakwa na mama mwenye nyumba kupelekea kufukuzwa?

Tafadhali Fafanua
 
pole kwa mkasa wa kufukuzwa..............usimlaumu sana huyo mama kwani hujui nini kinachoendelea upande wa pili...........wewe chunga maisha yako tu!
 
Mbona hueleweki?

Mimi nimemuelewa kwamba kafukuzwa na baba mwenye nyumba kwasababu mama mwenye nyumba alikuwa anaonyesha hisia za kimapenzi kwa huyu jamaa lakini mzee mwenye nyumba akastukia, yote hayo yamefanyika bila huyu jamaa kufahamu, na amelifahamu hilo baada ya kuhama nyumba, kwani yule mama mwenye nyumba alianza kumtafuta jamaa. Najaribu kuelewa zaidi
 
hakuna kitu kinauma kama kujua mkeo ana uhusiano na mwanaume mwingine na she is in a serious relationship.nimefukuzwa kwenye nyumba ya kupanga na baba mwenye nyumba baada ya kujua mama mwenye nyumba ana hisia kwangu nami sijui hilo nimejua baaba ya kutoka na mama mwenye nyumba kunitumia txt za mahaba.for god sake, kwa nini upo kwenye ndoa na unapenda vijana?

Unasema mke wa mwenye nyumba alikuwa anakutaka kimahaba baba mwenye nyumba kagundua kakurushia vilago nje?
 
We mkaka mbona husomeki! Mbona husomeeeki, mbona husomekiiii.......... Kuna mtu anao huo wimbo aniwekee?
 
Pole sana, kuna sababu nyingi sana za wanawake kutaka mahusiano nje ya ndoa kama ilivyo kwa wanaume...songa mbele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom