INAKUWAJE MABOSI KUPEWA ZAWADI?

TUCTA na TUGHE kutakuwa na matatizo huenda!

Hawa scope yao inaanzia wapi na kuishia wapi?

Nani anawachagua?

Ushirikishwaji wa wadau kwenye uchaguzi ukoje?

Huyo jamaa kiongozi anaitwa nani?
 
Na mimi nimeshangaa.Mabosi ni waajiri yaani employers huwa hawaruhusiwi kuwa na kadi za vyama vya wafanyakazi sasa inakuwaje wapewe zawadi na vyama vyao wakati sio wanachama?
Ipo namna... Historia italiweka wazi !!!
 
Back
Top Bottom