Inakuwaje lakini mabinti kudanganyika wasijifunze kwa wengine?

Puhhleeez!Mnadanganyika kuliko hata wanawake..hata mkijua kabisa mnadanganywa bado mnadanganyika kwasababu hamna ujanja!
Sasa Lizzy unataka kubishana mimi na The Boss wee si umeona Boss amesema "Wanaume tunadanyika kwa makusudi tunaamua kudanganyika"
usikatae banaa sisi kudanganyika sio nature yetu yaani not our mother nature kabisa l.o.l
 
Hata mkija wote bado ntabisha mpaka mkubali ukweli kwamba nyie ndo wadanganyika wakubwa kuliko.Mnayosema ni maneno ya kujifariji tu!
 
Hivi Sisy ukinidanganya nakuwa nimeamua tu unidanganye yaani nafanya makusudi tu usibishe sawa lolz

RIGHT!Ngoja nitulie msije mkajanjaruka!Kwa hisani ya my dearest brah na mzee mzima The Boss nakubali kwamba hua mnatuachia tuwadanganye maana mnatupenda sana!
 
RIGHT!Ngoja nitulie msije mkajanjaruka!Kwa hisani ya my dearest brah na mzee mzima The Boss nakubali kwamba hua mnatuachia tuwadanganye maana mnatupenda sana!
Hivi kwanini watu huwa wanasema "I lied to you because i love you" au ndio kujitetea huko
 
Hehehehe!Ahh wapi!Ntakujibu kwamba na mimi sikusamehi ili usirudie tena kwasababu nakupenda!
Ahaaa ahaaa kumbuka kuwa "Sikukwambia kukulinda" hapo kwenye bluu utakuwa tu unataka kunikomoa makusudi tu
 
Back
Top Bottom