Inakuwaje lakini mabinti kudanganyika wasijifunze kwa wengine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje lakini mabinti kudanganyika wasijifunze kwa wengine?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tripojo, Apr 12, 2011.

 1. t

  tripojo Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna hili swali linanisumbua sana kichwani mwangu:

  Hivi inakuwaje msichana anaweza kutoka kuongea na shoga yake kuhusu habari za msichana mwenzao ambaye amepewa ujauzito na lijamaa tu la mtaani ambalo halina mbele wala nyuma kimaisha, na yeye baada ya mazungumzo hayo akaenda kufanya vivyo hivyo. Unaweza kukuta ni mwanafunzi wa shule, akaenda kufanya ngono na kuambulia ujauzito na kijana wa mtaani ambaye hana nia wala uwezo wa kumuoa? Inakuwaje mambo haya jamani, kwa nini asijifunze?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watu hua wanaangalia matatizo/mambo yao tofauti na wanavyoyaangalia ya wengine.Kuna ila hali ya kufikiria mimi haiwezi nitokea..mimi siwezi kua mjinga kama fulani..siwezi kudanganywa kama wewe.Ndo maana unasikia fulani kaachwa na mwenzie kwasababu alicheat na bado wapo wanaojua hilo watakaotaka na kukubali kua nae.Somo zuri na linaloingia sawasawa ni lile analopitia mtu na sio anayoona kwa wengine.Before you experience something you'll never believe it could happen to you ...
   
 3. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  1.umetumia vigezo gani kumtofautisha lijamaa tu la mtaani ambalo halina mbele wala nyuma kimaisha na watu wengine hapo mtaani?
  2.''Kijana wa mtaani ambaye hana nia wala uwezo wa kumuoa''-wewe umejuaje?who are you to judge other people?
  3.Hayo ni maisha na maafikiano baina ya watu wawili....
  NB:Si ni watu wazima?wamefikisha 18yrs wanajua zuri na baya.Hapo sioni kwanini linakusumbua sana kichwani kwako...''Vua gamba''
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hajaweka mada yake vizuri ila point yake ni kwamba kwanini mtu anakua anajua kabisa athari za kitu fulani kwa kuona kwa wengine na bado anafuata njïa ile ile?
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Huwa hadi yatukute ndio tupate fundisho...
  Binadamu watu wa ajabu sana. Tungekuwa tunajifunza kwa waliotangulia nafikiri matatizo tuliyonayo yasingekuwa makubwa kiasi hiki. Halafu kuna kusahau, yanaweza kukuta, ukajutia na kuapa hurudii ila baadae ukafanya kitu kilekile.
   
 6. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nadhani katika huko kuhadithoana ndiko hamasa ya kujaribu inapotoka then bila kutambua consequence of erection mimba hutukia....nadhani ingekuwa sahihi pia ungewalaumu hao wakaka.....coz wananafasi kubwa ya kuzuia hii kitu
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Memory capacity ya goldfish ni dakika tatu....

  Ndo maana hata wakikuona unawavua after dakika tatu wanasahau....

  Binadamu at the end of the day ni viumbe kama wengine....

  Mwanamke asie danganyika sio mwanamke....atakuwa ni mwanaume...

  Wanawake wameumbwa hivyo....
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mapenzi hayachagui.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  halafu watu wasio na kazi wanakuwaga wataalamu mno kwa kutongoza...

  kwa sababu wana time ya kumfuatilia binti kwa mda mrefu...
  si hawanakazi....
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Well said Lizzy/Husninyo
  Ingekuwa binadamu anajifunza kusingekuwepo na
  makosa/ dhambi
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dayyym!I'm a man! Uliyosema ni ya kweli!
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unanitisha
  nilishaanza mipango ya kukudanganya...
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehehe good for me.Kwahiyo na wanaume wanaodanganyika inakuaje?
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kwani we ni mwanaume...?

  wanaume tunadanganyika kwa makusudi...
  tunaamua kudanganyika....
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Just curious!

  Mmmh kumbe na nyie mnadanganyika?Basi mimi sio mwanaume wala mwanamke!
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wanawake wanadanganyika
  wanaume tuanaamua kudanganyika...

  so wewe ni bi sio?
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inakuwa bahati mbaya it was not intended lol
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ha ha ha
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bi??Naaaaah!Just special!!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Puhhleeez!Mnadanganyika kuliko hata wanawake..hata mkijua kabisa mnadanganywa bado mnadanganyika kwasababu hamna ujanja!
   
Loading...