Inakuwaje kwa baadhi ya Mikoa Wanawake wengi wana ndevu?

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Kuna baadhi ya maeneo kwa kweli sijui kama watu wa molecular biology mnaweza kulielezea.

kwa wastani mkubwa kwa Ukanda wa Ziwa na pia Uganda na Rwanda wanawake wana ndevu kabisa yani kama wanaume. Yaani kati ya wanawake 10 wawili hukosi wenye ndevu.

Kisayansi hii sijui ina maana gani
 
MEXICANA,
Ni mwingiliano wa kijenetic kati ya upande wa baba na mama. Jambo hili ofcourse ndilo husababisha kiumbe kipya lakini kuna male genes au traits ambazo ni kwa wanaume tu na female genes kwa wanawake tu.

Lakini katika muunganiko wa kijenetic kati ya pande hizi mbili kuna uwezekano wakati mwingine vipande au sehemu za jeni ya mwanaume zikaingia kuunda mtoto. Hali hiyo husababisha kuzaliwa kwa mtoto wa kike mwenye tabia za kiume kama ndevu, sauti nzito na tabia nyingine, hata pia kuwa na viungo vya kiume.
 
Hormonal imbalance. Pindi mwanamke anapoanza kuwa na unbalanced hormones kati ya homoni kike yaai estrogen na homoni ume yaani testostereone. Kumbuka kila mwanadamu bila kujali jinsi yake ana homoni zote za kike na kiume. Kunapotokea imbalance basi madhara ndiyo mfano wa hilo la wanawake kuota ndevu.

Na kuna factors nyingi zinazopelekea huu uwiano kutokua sawa; hususani lifestyle - vinywaji, vyakula, pollutants, na mengineyo.
 
Hormonal imbalance anachingiwa pia na matumizi ya vithibiti mimba katika umri mdogo.
 
Back
Top Bottom