Inakuwaje JWTZ wanatumia yahoo email?

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Nilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya kwao???? Je, hawana wataalamu wa ICT????......................very sad
 
Last edited by a moderator:
Real sad yaani wao ndio wanatakiwa wawe watu wa kwanza kitechnologia yaani jeshini hua ndio mwanzo wa kila security
 
Tanzania kila kitu fake, naamini hata jeshi letu halina uelewa wowote kuhusu internet wakati kwa mara ya kwanza ilitumika kijeshi na wamarekani. Majanga haya!

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
jeshi wana taarifa aina nyingi
Huwezi jua hiyo iliyotolewa ni aina gani na imetolewa kwa lengo gani
Kumbuka mabomu ya Mbagala walipoulizwa kuhusu mpangilio wa kuhifadhi silaha zao
 
Nilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya kwao???? Je, hawana wataalamu wa ICT????......................very sad

Ni aibu hii nchi inaenda kimiujizamujiza tu kutokana na kuongozwa na viongozi ambao hawafahamu kwa nini wanang'ang'ania kuongoza wakati ni mizoga kule vichwani mwao wanategemea wazungu wawapime akili.
 
This is the biggest lie, since when email addresses are confidential?
Internet itself is open to all, it is public, you just have to know what exactly you a re doing.

Ninyi mmezoea kudanganya na kutisha watu, wakati wenu ulishaisha zamani sana.
Sasa hivi Mnaendelea kudanya watu kwa muda wa kukopa.
Hamjui kwamba katika muda huu awareness of human being is increasing??
Jeshi letu ni nyanya sana kwa sababu limeingiliwa kwa nyuma na wana siasa uchwara wa CCM.
CCM inalifanya Jeshi wakati wowote ipendao.
Sasa kama CCM ndo wanalifanya jeshi letu na wako hoi bin taaban jeshi letu lililoingiliwa kwa nyuma liko kwenye hali gani??
Msinielewe vibaya tuna wanajeshi Imara walipikwa wakakapikika lakini hawafurukuti wakijaribu ni mminyano.

Wameiba Mabomu wameyahifadhi mashambani mwao wakalipuwa maghala sasa wameanza kuyatumia kuua wananchi wasio na hatia kwa amri ya yatu wenye mawazo ya Kishenzi kama akina Mwigulu Lukuvi pinda na Mwenyekiti wao Jakaya.

Jeshi? Lipi?

hiyoo mliyoitaka hamuwezi kuiona kwa manufaa ya jeshi na kuhakikisha ulinzi na usalama vinaendelea kuwepo,ukiitaka jiunge
 
Hapo kwenye bold, mchezo mzima uko hapo. wameuza mengi tu kinyemela kwa nchi jirani za rwanda na congo, na JK hajui na wala hana hata clue. na wamelipua on purpose wapoteze mahesabu. halafu wanasema bahati nzuri hakufa hata mwanajeshi mmoja, wakati walikuwa washajichimbia wakisubiri mlipuko.
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Nilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya kwao???? Je, hawana wataalamu wa ICT????......................very sad
unauliza swali au umesha conclude Kati ya vitu mficha siri anapenda nipale unaposhindwa kujua siri zake na kubakia kubashiri na diyo maana usalama na jeshi hawana time nakuwajibi kwa sababu hamjui kitu MNA hang hang tu kwa Ku assume lambda ni hvi labda ni hvi.hahahaha
 
Last edited by a moderator:
1.Jeshi Letu limajaa vilaza
2.Wengi walijiunga na jeshi baada ya kukosa kazi
3.ni sehemu ambay ni kimbilio la waliofeli
kwa mujibu wa hayo hapo juu hawawezi kua na teknolojia ya kisasa hata siku moja.
 
hiyoo mliyoitaka hamuwezi kuiona kwa manufaa ya jeshi na kuhakikisha ulinzi na usalama vinaendelea kuwepo,ukiitaka jiunge
. Hapana bwana huu si ukweli. kama taasisi nyeti kama CIA website yao imeanikwa wazi ikawe JWTZ? Web site ya CIA:
https://www.
cia
.
gov
 
Back
Top Bottom