Inakuwaje hizi mashine za kodi za TRA (EFD) na huu mgao wa umeme? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje hizi mashine za kodi za TRA (EFD) na huu mgao wa umeme?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Jun 30, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wenye kuzitumia hizi mashine tunaomba mtufahamishe, mnatumia mbinu gani kuwapatia wateja wenu risiti pamoja na kuzioperate hizi mashine pale Tanesco wanapochukua umeme wao?. Assume huna chanzo kingine chochote cha power.
   
 2. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Zina backup battery!
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0


  for how many hours
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ok, nashukuru mkuu kwa kunielewesha ..japo nami nitaungana na LAT kuuliza reliability ya hiyo battery.
   
Loading...