Katika kukaa na kufikiria zaidi kuna baadhi ya mambo kwa nchi ya Tanzania yananisumbua na nadhani hayo mambo hawajayatilia maanani zaidi na kujua wafanye nini ili kila kitu kiweze kuwa sawa kama wanavofanya nchi za wenzetu.
Hivi sasa bongo kuna kitu kama hospital mfano mke amepata dharula ya kujifungua inabidi akimbizwe hospital sasa akishafika hospital unakuta anapokelewa na doctor ndio anakwenda kumfungulisha mwanamke sasa jamani kweli hii ni sa hiii??
Au doctor ana ruksa za kuweza kuona naniihii za wake wa watu hata kama yeye amepitishwa kuwa doctor??Na pia ma nurse wanakazi gani zaidi hospital au hamna manurse wasomi ambao wanaweza kumfungulisha mwanamke mwenye mimba???
Maana huku wenzetu kuna manurse ndio kazi zao hizo,,Sasa kwa kwetu bongo nashindwa kuelewa ndio elimu yetu tulipofikia au ndio mpangilio ambao umepangwa???