Inakuwaje Diamond anaendelea ku-trend namba moja pamoja na kuzidiwa watazamani na Alikiba?

Robotics... kiba anatumia maroboti,
Na zile comments ni robots?... comments ni maoni ya wanaotizama video husiku naona KAMATA ina comments elfu 9 halafu SALUTE in a comments elfu 20 hii nayo ipoje?
 
Nyimbo nyingi za Kiba hazina muendelezo mzuri wa viewers ndio maana nyimbo zake nyingi zinaishia 6-8M wakati mwenzake Mondi zinaishia kuanzia 40M kuendelea.Unaweza ukakuta hiyo Ngoma inaishia kwenye 7M wakati mwenzake atagonga 20M
Mmmmh ulielewa topic kwel?
 
Tumia akili.

Ukiwa no 1 kwenye trend ya eneo husika ni lazima uwe unaangaliwa zaidi eneo hilo kwa muda huo.

We kwa akili yako unadhani hizo video zinapata viewers Tanzania peke yake ?.

Huyu Diamond au Zuchu wanaangaliwa zaidi Tz ndio maana wanaongoza kwenye trendings za Tz, hao wengine wana viewers wengi ila wengi walioangalia zaidi inaonekana ni wa nchi nyinginezo, period .
Kaka leo hii msanii wa kimataifa DIAMOND anaangaliwa zaid TZ? kwamba kiba kawa na mashabiki wengi nje ya Nchi leo hii? Hapa ndio maana na ya kile ambacho wasanii wengine wamekuwa wakilalamikia nakiona cha kucheza na KUCHEZA NA YOUTUBE na ambacho diamond hakitaki ni kuona anashushwa trending na kiba, bt hata kama hashushwi anatuachia maswali mengi kwa hiki kinachoonekana.
 
Mrejesho wa video 4 kutoka kwa wasanii wenye mtifuano mkali youtube
1. Harmonize - Sandakalawe ~ 3.8M+
2. Diamond - Kamata ~ 2.7M+
3. Alikiba - Salute ~ 2.6M+
4. Zuchu - Nyumba ndogo ~ 1.6M+

kuna cha kujiuliza hapa, sio bure
 
Mond alitakiwa awe na 10m, wimbo mbaya

kwa ukubwa wake hakutakiwa hata kushindana na hao watu

kaanguka hapo, lazima alie uko aliko

huyu kiba yupo tu. ni hatari kushindana na mtu ambaye YUPO tu, hana season, kiki wala mikwara, na ana loyal funs

angalia comments nyingi sana ni video ya kiba

washabiki wake ni stable sana

washabiki wa mond na harmonise sio waandika comments, and that is not love
 
Mrejesho wa video 4 kutoka kwa wasanii wenye mtifuano mkali youtube
1. Harmonize - Sandakalawe ~ 3.8M+
2. Diamond - Kamata ~ 2.7M+
3. Alikiba - Salute ~ 2.6M+
4. Zuchu - Nyumba ndogo ~ 1.6M+

kuna cha kujiuliza hapa, sio bure
Lakini trending yupo zuchu WCB mna la kutuambia kuhusu YOUTUBE coz harmonise anayo hiyo 3.8 in two days.
 
Kaka leo hii msanii wa kimataifa DIAMOND anaangaliwa zaid TZ? kwamba kiba kawa na mashabiki wengi nje ya Nchi leo hii? Hapa ndio maana na ya kile ambacho wasanii wengine wamekuwa wakilalamikia nakiona cha kucheza na KUCHEZA NA YOUTUBE na ambacho diamond hakitaki ni kuona anashushwa trending na kiba, bt hata kama hashushwi anatuachia maswali mengi kwa hiki kinachoonekana.
ashashuka huyo

sasa atapanick

yeye alikuwa busy ku modify nyimbonza watu na akakosa kubuni zake

kaja na kamata ambayo ni beat ya tetema, dakika moja na nusu anaimba 'kamata' tu
 
Back
Top Bottom