Inakuwa vp pale masharti ya dhamana ya kiongozi ya UAMSHO yanatekelezwa hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwa vp pale masharti ya dhamana ya kiongozi ya UAMSHO yanatekelezwa hivi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Gangi Longa, Oct 22, 2012.

 1. G

  Gangi Longa Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndg wana JF,

  Nimejaribu kuangalia kufikishwa kwa kiongozi wa UAMSHO Sheikh Farid Hadi mahakamani na nimeshtushwa na masharti aliyopewa ya dhamana maana yamekaa kimtego mtego! Yaani kama yanataka kutengeza heros na heroines! Anahitajika kudhaminiwa na watu wawili mmoja toka serikalini na wa pili toka viongozi wenzie wa kidini!

  Je umepata kufikiria hili tego linaweza kuibui mambo makubwa huko Zanzibar? Ni vp pale Maalim Seif na Kadhi Mkuu wa Zanzibar watakapojitolea kumdhamini? Kitu ambacho naanza kukihisihisi? Je SUK itavunjika ama vp? Na ni nini mstakabali wa Muungano baada ya hapo?

  Tukae chonjo kusubiri
   
 2. e

  enzihuru Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dhamana ni haki ya msingi ya mtuhumiwa kama hauna kitisho aliwapo nje.
   
 3. T

  Top Cat Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  rejea sheria ya magaidi....hawadhaminiki
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Wale ni magaidi hawadhaminiki... Ningekuwa hakimu
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Kwani mimi mwalimu wa shule ya msingi siwez kumdhamin? Au mpaka mwenye cheo cha uwaziri au makamo wa rais?
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du pakali hapo km Seif atamdhamini mtu anayedai katekwa na Serikali
  Tusubiri trh 25 dhamana haikusema hivyo la sivyo waongeze mauaji ya Polisi ambayo. Hayana dhamana
  Kupitia ITV na Farouk Karim katuonesha hao wadunguaji wa FFU toka bara na gari la JW lazima wanyaze Uamsho la sivyo kifutwe
   
 7. U

  Usama New Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania kwa kufuata mkumbo,Ouph!!!nani kakuambia huyo ni gaid kama si ulimbukeni?
   
 8. e

  emmanuel christopher Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo kiongoz hana tofaut na gaid msbishe jaman,au mltaka ad alpue mabom ndo mjue na yy ni gaid? Ktendo cha kuatarisha aman ya nch 2 ni ugaid tosha coz inaeza kugharim maisha ya wa2 weng km ilvyotokea z,bar.
   
Loading...