Inakuwa vipi unapokosea kwenye swala la ununuzi wa airtime/muda wa maongezi?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,207
1,755
Nimesikia unaweza kosea na kuunga/kutuma muda wa maongezi au kununua vocha ya bei kubwa sana mfano 100,000tshs, 1,000, 000 tshs n.k, je swala hili limewekewa utatuzi?, Maana kwa wengine inaweza kuwa ni kukosea, sasa basi, Endapo mtu alikosea kufanya ununuzi wa vifurushi, TTCL Customer Care , Airtel, Vodacom, Tigo, Zantel n.k

Mnamsaidiaje mtu wa namna hiyo?, Je anaruhusiwa kutoa malalamiko yake kwenye mtandao husika na kupata suluhisho ama mnachukulia kama uzembe wake tu!

Au ndio basi tena mmeula!

Maoni yenu muhimu.
 
Hupaswi kulalamika ni makosa yako, hapo kama ni kifurushi ndio hakuna namna ila airtime unaweza uza kwa wakala japo itapungua thamani
 
Back
Top Bottom