Inakuwa Namna Gani Profesa Mng'ong'o?

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Prof huyu, hivi sasa anazungumza katika Kongamano Kuhusu Rasilimali za Tanzania "Live" kupitia ITV lakini naona kama anatetemeka sana kuzungumza, ndivyo anavyozungumza au amepatwa na microphone fever? Wenzetu wa UDSM mnaomfahamu prof huyu, tafadhali tujulisheni maana imekuwa ngumu hata kufuatilia anachosema!
 
Principles under Professors. 1.Professor is never wrong 2.If Professor is wrong go to principle number one.Nadhani kwa principles hizo hana haja yakuogopa ndivyo alivyo
 
Noted with tx!
 
Prof huyu, hivi sasa anazungumza katika Kongamano Kuhusu Rasilimali za Tanzania "Live" kupitia ITV lakini naona kama anatetemeka sana kuzungumza, ndivyo anavyozungumza au amepatwa na microphone fever? Wenzetu wa UDSM mnaomfahamu prof huyu, tafadhali tujulisheni maana imekuwa ngumu hata kufuatilia anachosema!

Ningumu sana kuilinda CCM ...ni dangerous line
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom