Inakuaje unamkimbia mtoto wa kumzaa?

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,421
3,391
Jamani hivi mtu unakuwa na ujasiri gani wa kumpa mwanamke mimba halafu umkimbie,unategemea nani atamsaidia mpaka kuja kujazaa

Watoto hawa maskini ya Mungu wala hakuna siku waliyowahi kuandika application latter kwako kuwa uwalete duniani,ni wewe mwenyewe pamoja Na tamaa zako.

Sasa kwa vile umewalete basi chukua jukumu la ubaba na si kukimbia na kumuacha mdada wa watu ahangaike na mtoto,ni dhambi Na laana,kama huezi kutuna usizae kwani kitu gani bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ni kweli inatokea halafu unakimbia haipendezi...ila na wakina dada muache kutubambikia mimba....unalea mimba baadae mtoto halafu mwisho wa siku unaambiwa siyo wako....shubaamiti....
 
Hii kauli ya "nina mimba yako" isikie tu kwa wenzako, ikikufika utatamani litokee lijoka likumeze au shimo kuuubwa mbele yako utumbukie uikwepe dhahama hiyo.

Mimba nyingi sio za kutarajiwa, inatokea hata mipango ya maisha ya kujitegemea haipo zaidi ya kupunguziana mihemuko(nyege) ya ujana.
 
Back
Top Bottom