Inakuaje Magufuli anagawa hela na miradi ya maendeleo njiani kwa mizuka tu kwenye ziara, hakuna plan nchi hii?

Mchangiaji kauliza , hana plan? Wizara haina vipaombele/priorities? Kwasasa tunaona vipaombele vya mizuka tu.
Wizara inaweza kuwa na vipaumbele kama kawaida lakini ziara nazo huibua matatizo huko wanakopita na ni mzigo wake lazima azikabili
 
Mnasema mtaani hakuna hela Magufuli akigawa hela mnalalamika!
Kwa hiyo kukiwa hakuna hela ndio kugawa hela kwa mizuka tu kisa kaona wananchi wanamsubiri kwenye mvua?

Kama anataka kuongeza hela kwenye mzunguko apandishe mshahara, au alipe madeni ya ndani, huoni hiyo ndio itakuwa orderly way ambayo ipo traceable?
 
Kwani akigawa mtaani zinapotelea hewani?
Kwa hiyo kukiwa hakuna hela ndio kugawa hela kwa mizuka tu kisa kaona wananchi wanamsubiri kwenye mvua?

Kama anataka kuongeza hela kwenye mzunguko apandishe mshahara, au alipe madeni ya ndani, huoni hiyo ndio itakuwa orderly way ambayo ipo traceable?
 
Potelea mbali hata kama hazina bajeti ila kama Wananchi wanafaidika nazo, abarikiwe sana kwa maana anaweza kula na wakwao tu sijui mtasema nini?
Wananchi nchi nzima wana shida, wengine wanashida kuliko hata huko anakotembelea sema hawaonekani

Badala ya kugawa miradi kwa mzuka inafaa uchambuzi ufanyike, sehemu zenye uhitaji zaidi wa hiyo miradi zipewe kipaumbele
 
Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya
Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi
Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi wanamsubiri kwenye mvua akawaahidi barabara sababu wamemfurahisha sana

Sasa ninachojiuliza ina maana Rais hana plan au bajeti ambazo zipo pre determined kutokana na umuhimu wake na kuzipa hela bali yeye anagawa tu hela kutokana na mzuka ambao wananchi watampandisha?

Tukiachana na hizo za milioni 5 nyingi, kuna milioni 400 kaahidi za zahati, kuna barabara ya nabilioni kaahidi tena baada ya kuona wananchi wamemsubiri kwenye mvua
Nashangaa hivi hakuna mipango ya kujenga barabara fulani kutoka na umuhimu wa hizo barabara bali Rais anagawa tu miradi ya barabara baafa ya wananchi kumfurahisha?
Mara atakapotoka madarakani atatueleza hizo pesa anazogawa kama njugu anazitoa wapi? Tutabadili katiba kwenye kifungu cha kinga ya rais anapokuwa madarakani tena kwa hati ya dharura ili atueleze pesa anazitoa wapi!? Hii ndiyo dawa ya watawala wa kiafrika
 
Ikulu kungekuwa hakuna walinzi ningeenda siku moja nikachukue ya kuanzisha biashara ila sio ya kuchezea tatu mzuka..
 
Nimecheka hadi nikajisikia vibaya
Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya
Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi
Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi wanamsubiri kwenye mvua akawaahidi barabara sababu wamemfurahisha sana

Sasa ninachojiuliza ina maana Rais hana plan au bajeti ambazo zipo pre determined kutokana na umuhimu wake na kuzipa hela bali yeye anagawa tu hela kutokana na mzuka ambao wananchi watampandisha?

Tukiachana na hizo za milioni 5 nyingi, kuna milioni 400 kaahidi za zahati, kuna barabara ya nabilioni kaahidi tena baada ya kuona wananchi wamemsubiri kwenye mvua
Nashangaa hivi hakuna mipango ya kujenga barabara fulani kutoka na umuhimu wa hizo barabara bali Rais anagawa tu miradi ya barabara baafa ya wananchi kumfurahisha?
 
Bavicha tulieni dawa iwaingie acheni kulia lia,
Naona ziara hizi zinawauma sana kuona mapokezi anayopata.
Mkae mkijua watz sisi ni wasahaulifu sana...upepo unapovumia sana ndo huko bendera inapogeukia.
 
Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya
Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi
Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi wanamsubiri kwenye mvua akawaahidi barabara sababu wamemfurahisha sana

Sasa ninachojiuliza ina maana Rais hana plan au bajeti ambazo zipo pre determined kutokana na umuhimu wake na kuzipa hela bali yeye anagawa tu hela kutokana na mzuka ambao wananchi watampandisha?

Tukiachana na hizo za milioni 5 nyingi, kuna milioni 400 kaahidi za zahati, kuna barabara ya nabilioni kaahidi tena baada ya kuona wananchi wamemsubiri kwenye mvua
Nashangaa hivi hakuna mipango ya kujenga barabara fulani kutoka na umuhimu wa hizo barabara bali Rais anagawa tu miradi ya barabara baafa ya wananchi kumfurahisha?
Wabunge wa upinzani pia wanaamini eti anapanga miradi ziarani! Rais ni taasisi. Unachoamini kinafanyika bila plans, unapotoka. Ziara nzima ya rais huwa imekwisha fanyiwa planning sawa na summit zote za viongozi. Akisema kuna mradi wa milioni 400, hiyo ilishapangwa kabla hajaanza safari. Ndo maana uliona anakwenda Malawi akijua kurudi ni kupitia Mbeya na ....
 
Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya
Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi
Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi wanamsubiri kwenye mvua akawaahidi barabara sababu wamemfurahisha sana

Sasa ninachojiuliza ina maana Rais hana plan au bajeti ambazo zipo pre determined kutokana na umuhimu wake na kuzipa hela bali yeye anagawa tu hela kutokana na mzuka ambao wananchi watampandisha?

Tukiachana na hizo za milioni 5 nyingi, kuna milioni 400 kaahidi za zahati, kuna barabara ya nabilioni kaahidi tena baada ya kuona wananchi wamemsubiri kwenye mvua
Nashangaa hivi hakuna mipango ya kujenga barabara fulani kutoka na umuhimu wa hizo barabara bali Rais anagawa tu miradi ya barabara baafa ya wananchi kumfurahisha?
Father Christmas. Kilangila.
 
Mafisadi umewaona wapi nchi hii? Kama yeye aliweka mpira kwapani kwa kusema anaifunga mahakama ya mafisadi kisa haina wateja, we ni nani? Ataacha kuwa best president wakati anagawa hela kama njugu lakini zikitaka kuhakikiwa anamhujumu mkaguzi? Zamani nilisoma gazeti la sani kuhusu mzee meko alivyoingizwa mjini akatapeliwa.
Huenda ikulu kuna magunia ya pesa
 
Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya
Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi
Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi wanamsubiri kwenye mvua akawaahidi barabara sababu wamemfurahisha sana

Sasa ninachojiuliza ina maana Rais hana plan au bajeti ambazo zipo pre determined kutokana na umuhimu wake na kuzipa hela bali yeye anagawa tu hela kutokana na mzuka ambao wananchi watampandisha?

Tukiachana na hizo za milioni 5 nyingi, kuna milioni 400 kaahidi za zahati, kuna barabara ya nabilioni kaahidi tena baada ya kuona wananchi wamemsubiri kwenye mvua
Nashangaa hivi hakuna mipango ya kujenga barabara fulani kutoka na umuhimu wa hizo barabara bali Rais anagawa tu miradi ya barabara baafa ya wananchi kumfurahisha?
Bora huyu anawapatia wananchi wake live kila mtu anaona.
Hao waliopita walikuwa wanakula wao na makundi yao na nyingine wanahamishia benki za magharibi.

Haowaliokuwa wanafuata utaratibu wa matumizi mpaka kusifiwa na ripoti za CAG mbona hatukuona cha maana walichotuachia zaidi ya kutafuna na kugawana walivyovikuta?
 
Huwa Kuna bajet ya ziara kwa viongozi wanapozuru mahala japo sijui huwa Ni kiasi gani anatakiwa kupewa
 
Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya
Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi
Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi wanamsubiri kwenye mvua akawaahidi barabara sababu wamemfurahisha sana

Sasa ninachojiuliza ina maana Rais hana plan au bajeti ambazo zipo pre determined kutokana na umuhimu wake na kuzipa hela bali yeye anagawa tu hela kutokana na mzuka ambao wananchi watampandisha?

Tukiachana na hizo za milioni 5 nyingi, kuna milioni 400 kaahidi za zahati, kuna barabara ya nabilioni kaahidi tena baada ya kuona wananchi wamemsubiri kwenye mvua
Nashangaa hivi hakuna mipango ya kujenga barabara fulani kutoka na umuhimu wa hizo barabara bali Rais anagawa tu miradi ya barabara baafa ya wananchi kumfurahisha?
Hii inaitwa 'Magufulism mbere kwa mbere'. Kichaa kapewa panga. Sieijii akitoa ripoti kuhusu matrilioni yasiyojulikana yalipo na kwamba Bonge ni dhaifu kwa kutosimamia 'magufulism' ipasavyo, basi utasikia wireless subhoofer linavyopiga kelele na wasikilizaji wake wakitokwa mipovu. Mungu anatupenda sana Watanzania wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutuletea hii '...ism' ili tufumbuke macho.
 
Back
Top Bottom