Kama hujui kusoma hata picha huoni? Neno kubwa hapo ni MAFURIKO. Wote wamelitumia. JInsi Mafuriko ilivyotumika ni maana iliyofichama siyo maana ya wazi. Tumia angalau akili kidogo. Haiwezi kuwa coincidenceKwa akili yako umeona ni sawa inamaana hujui neno moja tu hubadili maana sentensi
Mafuriko yamekubeba unaogopa nini kusema kuwa kuwa unaiogopa ccmAcha ujinga wewe. Kama hujui kusoma hata picha huoni? Neno kubwa hapo ni MAFURIKO. Wote wamelitumia. JInsi Mafuriko ilivyotumika ni maana iliyofichama siyo maana ya wazi. Tumia angalau akili kidogo. Haiwezi kuwa coincidence
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuhhh, hatareMhariri mkuu ni Polepole hivyo usishangae, hayo hakuna mtu anayanunua tena isipokuwa viongozi wa CCM pekee.
Kukaribiana sawa I'll siyo kufanana Kama huko. Labda Kama waandishi waliwasiliana kabla ya kuandikaVichwa vya habari huwa vinakaribiana mara nyingi hasa kwenye michezo ambako sidhani kama kuna maelekezo
kama mafuriko ya watu kuchukua fomu yanafanana. Ulitaka vichwa vya habari viwe tofauti? Nani wa kuhonga waandishi kwa Ccm hii inayojitangaza yenyewe.Kila kitu ni mipango, kabla hamjatoa habari yenu lazima muongee na wahariri namna ya kuipa headline habari yenu.
Hela imemwaga hapo kwa wahariri, Nia ni kufifisha habari za Wapinzani ionekane Tanzania kisiasa ni CCM pekee ndio inakubalika.
Ni uchovu wa kufikiri. Wangeweza buni vichwa tofauti tofauti
Political potentially (Pol - Pot)....Hii ni KASHFA kubwa sana kwa viongozi wa hayo magazeti
Acha ujinga wewe. Kama hujui kusoma hata picha huoni? Neno kubwa hapo ni MAFURIKO. Wote wamelitumia. JInsi Mafuriko ilivyotumika ni maana iliyofichama siyo maana ya wazi. Tumia angalau akili kidogo. Haiwezi kuwa coincidence