INAKERA NA KUKATISHA TAMAA...

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
2,362
4,851
Wanabodi leo hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetoa orodha ya tatu na ya mwisho ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa ajili ya ada na pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu.

Ajabu na linalonishangaza ni huyu mdogo wangu, kasoma shule za serikali kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita, akinyimwa mkopo ilihali akiwa amefaulu kwa division ya kwanza kuanzia kidato cha nne mpaka sita, tena kwa combination ya PCB. Mpaka mda huu amefanikiwa kupata nafasi katika chuo cha ( MUHAS) MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE katika faculty ya MEDICINE.

Wanabodi nisaidieni mawazo ili kuokoa ndoto za dogo huyu ukizingatia sisi wakulima wa chini (strong peasants) kugharamia hizo ada za milion kadhaa ni mitihani kidogo.

Pia ntafurahi ikiwa ntasaidiwa kukutanishwa na wadau wengine wanaweza kumsponsor dogo huyu mwenye ndoto lukuki kwenye kada hii "nyeti" ya afya.
NAWASILISHA
 
labda taarifa za kintelejensia zinaonyesha huwa anavaa nguo kali na kupaka pafyumu nzuri au labda mna nyumba na gari zuri?si unajua awamu hii ni ya wanyonge wanuka majasho?
 
NAUNGA MKONO HOJA !!!

Mkuu angalia vizuri labda itakuwa alikosea kijaza form za maombi, je majina ya waliokosea yalipotoka uliangalia kama hakukosea, Yale mafomu yana mlolongo mrefu na wao ukikosea kidogo tu kuyajaza wanayaweka pending
 
Doctor of medicine wanaosoma wengi kipind hiki ni vibosire aseeee kayumba wanahesabika muhas wanachukua one ya 3 mpka ya 6 PCB unakuta watt wa Marian,fezza,cjui kanosa,mara mwanza alliance ndo wengi wao wanapigaz hzo point na kuchaguliwa paleeeee........wengine wanajipia kairuki na takataka mikopo hawapati.....

Ko mkomae t kutoa mitonyo hyo akameze tna BS kwa semister
 
Angalia kama kuna error iliyofanyika kwenye majina yaliyotolewa.
Pili fatilieni kama kulikua na multiple admissin kwenye batch alizochaguliwa maana majina yanaweza yakawa hayajafanyiwa kazi loan board kwenye hizi batch za mwisho mwisho.
Mimi nilipata chuo second round,na mpaka chuo kinafunguliwa sikuwa nimepata mkopo sababu ya multiple admission lakini nilipata batch ya nne 100%
 
Kweli mzee ameniambia asilimia kubwa wanafunzi wa pale hawana mkopo na they don't care... sisi ni kayumba na dogo kapiga division 1 ya point 4
 
Pamoja sana mzee
 
Kweli mzee ameniambia asilimia kubwa wanafunzi wa pale hawana mkopo na they don't care... sisi ni kayumba na dogo kapiga division 1 ya point 4
Jiwe kageuza elimu kuwa ilimu mkuu..........
One za miaka hii hasa mwaka huu ni upuuuzi t yahn maana kuna dogo nilikuwa namcoach hajui mambo lakn kapiga 5 PCM A ya advnc math!!!!!hapo ndo nikaanza kupata kinyaaa na ilimu ya awamu hii

Cha msingi komaeni mwaka huu asome mukalipe tu hayo mamilioni kama yote mwakan muapili aseee tena mjiongeze na kujikngeza ooohhhoooo!!!!!!!!kijana wenu ale walau jasho la kodi zenu.
 
Sa Ivi ni miyeyusho tu hakuna vigezo sahihi vya kupata huo mkopo tofauti na zamani,na mambo haya huwa yanakatisha tamaa sana hata ukiangalia wao viongozi wamosoma vyuo bure kabisa baada ya kutengeneza platform nzuri ili vizazi vya sasa vifaidi,mambo yanakuwa Vurugu mechi na wakitaja hiyo bajeti ya mkopo na namba zao za kukariri za kinafiki utafikiri wote wamepata,kumbe ni ushenzi mtuupu!!!mtu potential kama huyo wa pharmacy anakosa boom!!!!!kweli serikali hiiiiiiii!!aisee hapana msife moyo!!!!Hebu jaribun Hii ya mambo Agriculture kwa huyu itamfaaView attachment OPPORTUNITY FOR SPONSORSHIP.pdf
 
labda taarifa za kintelejensia zinaonyesha huwa anavaa nguo kali na kupaka pafyumu nzuri au labda mna nyumba na gari zuri?si unajua awamu hii ni ya wanyonge wanuka majasho?
Umekunywa Viroba hii ni serious matter
 
Kweli mzee ameniambia asilimia kubwa wanafunzi wa pale hawana mkopo na they don't care... sisi ni kayumba na dogo kapiga division 1 ya point 4
Ningekuwa na hyo hela ningemlipia hyo ada kajitahidi sana sisi enzi za Jakaya na vi arts vyetu tulipata mkopo asilimia 90% serikali iwaangalie hawa wanaosoma udaktari wapate mikopo aisee
 
Na walaaniwe viongozi kwa namna moja au nyingine wamesomeshwa bure halafu wao kwasababu wapo vizuri kiuchumi hawaoni umuhimu wa vijana wa sasa kwasababu familia zao ziko vizur na matumbo yao!wanaona matatizo ya wengine hayawahusu
 
Back
Top Bottom