Inakaribia kuwa rasmi, shilingi haitakuwepo tena

Dilunga

JF-Expert Member
Apr 8, 2009
679
49
Makampuni yalipewa onyo na Benki Kuu yasi quote dola, inadidimiza thamani ya shilingi, si uzalendo, na ni illegal.

Mchana kweupe. Kwa jiografia yangu hapa ni Salender, makutano ya Ally Hassan Mwinyi na Kinondoni Road, pembeni ya makazi ya balozi wa England, njia panda ya kwenda Oysterbay in the ocean background. Wakulu wote wa Hazina, BOT na serikali nzima wamepita hapa leo asubuhi, wamepita jioni, wanayaona haya, lakini ni kama ukanda wa milima ya Kandahar, Afghan huko hakuna serikali, chochote cha mbele. E bana eeeh, siku wakithubutu kunipa mtu kaa mimi manguvu ya kuadhibu Watanzania mbona watanipindua ndani ya siku 90 :mad:

i384_PRECISIONAIR.jpg

Watu wa Precision Air wakitangaza biashara kwa fedha za kigeni
na kibango kimoja cha shilingi cha kuzugia.

(Picha toka tovuti ya Mhariri wa Upiga Picha wa gazeti la serikali, Daily News)
 
Last edited:
Kuna kampuni moja walikuwa wanatangaza kwa staili hii hii ya kusimamisha vijana juani kuanzia rush hour ya asubuhi mpaka rush hour ya jioni pale Askari monument.

Walipigwa stop na serikali kwamba utaratibu wao unadhalilisha utu wa mtu kwa kumgeuza mtu kuwa bango.

Sasa hawa Precion vipi au ndio bado hawajamulikwa?
 
Back
Top Bottom