inahitajika mashine ya kufyatua matofali

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,563
52,200
naomba mwenye kujua mahali pakuzipata hizi mashine anidokezee, ikiwezekana na bei pia.
 
Nenda pale Mwenge, kama unaelekea makongo ukipita tu Petrol station hapo hapo upande wa kushoto,zipo zile za umeme za kutoa tofali mbili mbili, pamoja na Motor yake waliniambia kuanzia 3million, au kwa wachina Millenium park, pale Urafiki wanazo au watwangie 0654 910 708.
 
asante nitafuatilia.
 
Sijajua uko panda gani ya TZ lakini kwa hapa Arusha kuna E.J.K Engineering Works ya kaka anaitwa Elibariki,complite nikiwa na maana Mixer pamoja na ya kufyatulia matofali inatoa matofali mawili hadi matatu,kiutaalamu sijui vinaitwaje lakini kwa maelezo haya utanielewa,
katika hiyo mashine anakuwekea na visahani kwa ajili ya kufyatulia pavement pia.
kuanzia milioni mbili na nusu unapata
namaba zake za simu ni 0754 56 83 34 au 0785 55 12 21 au 0655 55 12 21.
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom