Nenda pale Mwenge, kama unaelekea makongo ukipita tu Petrol station hapo hapo upande wa kushoto,zipo zile za umeme za kutoa tofali mbili mbili, pamoja na Motor yake waliniambia kuanzia 3million, au kwa wachina Millenium park, pale Urafiki wanazo au watwangie 0654 910 708.