inahitajika: huduma ya usafi wa ndani ya gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

inahitajika: huduma ya usafi wa ndani ya gari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mutensa, Nov 26, 2009.

 1. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Salaamz wana JF. Natafuta professional cleaners wa ndani ya gari. Namaanisha kusafisha floor, roof, viti, board ya ndani kwa ujumla, dash board NA MFUMO MZIMA WA HEWA YA AIR CONDITIONER. Note: sitafuti wale waoshaji wa magari wa vijiweni, nawajua wengi, sina haja ya kutangaza JF. Mwenye huduma hii ani-pm au anitumie mail kwenye mutensa@live.co.uk
   
Loading...