Inahitajika gari Suzuki Escudo


CONSTRUCTIVE THOUGHT

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Messages
1,167
Points
1,500
CONSTRUCTIVE THOUGHT

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
1,167 1,500
Nahitaji kununua gari used hapa bongo suzuki escudo model ya kuanzia mwaka 2005. Iwe automatic na kwenye hali nzuri sana. Engine iwe J20A.

Sample.

Kwanini usinunue hiyohiyo sample?
 
Y

yonga

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
1,260
Points
2,000
Y

yonga

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
1,260 2,000
Sure...nilihakikisha nanunua SUV lkn isiwe na mzigo wa tairi nyuma, Gari zenye tairi kama hiyo escudo, rav 4 ukisafiri nayo interior zinachokesha mlango wa buti huo, ( unaeza shangaa unachomoka na tairi yake) sasa hapo unaanza kusumbuana na mafundi garage kukuchomelea!

NB: NIMESHUHUDIA GARI LA FAMILIA ( rav 4 yenye tyre nyuma)
Nimekuelewa, hivi kluger nayo ina tyre nyuma mkuu, sijaichunguza vizuri
 
Y

yonga

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
1,260
Points
2,000
Y

yonga

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
1,260 2,000
Nimepanua wigo. Kama una kilitime au kluger tufanye biashara.
Mkuu unaweza kunipa advantage ya kluger over kilitime, vipi upatikanaji wa spare mfano kama kijijini kwa gari kama Toyota kluger
 

Forum statistics

Threads 1,284,177
Members 493,978
Posts 30,816,009
Top