Inahitajika gari Suzuki Escudo


Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,410
Points
2,000
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,410 2,000
Wakuu mmegoma kuuza gari?
 
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,410
Points
2,000
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,410 2,000
Offer yako ni ndogo mkuu.nikuuzile (Jimmy) sijaitumia tokea nilipoileta.ukitaka prado new model ipo kwa 40milion
Nimepanua wigo. Kama una kilitime au kluger tufanye biashara.
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,254
Points
2,000
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,254 2,000
Hyo mkuu..
Mwaka 2008
Namba A
Km 98000
Iko dar
Bei 14m
But iko exmpted so kuna kakod utaclear tra kama wataka kubadil jina.sababu ilinunuliwa kwa shirika lenye msamaha wa kodi
Call 0783380123
Nzuri nimeipenda kwa mwonekano hope na injini bado inadai
 
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
5,695
Points
2,000
Age
23
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
5,695 2,000
Me ninayo CADILLAC ESCALADE 2014, bado ni mpya na rangi nyeusi na usukani upo kushoto, bei ni dola za kimarekani $ 61,000/=

Karibu mteja wangu kwa bidhaa bora.....
 
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,410
Points
2,000
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,410 2,000
Me ninayo CADILLAC ESCALADE 2014, bado ni mpya na rangi nyeusi na usukani upo kushoto, bei ni dola za kimarekani $ 61,000/=

Karibu mteja wangu kwa bidhaa bora.....
Mhhh! Unaongea na mimi?
 
Kiyago

Kiyago

Member
Joined
Nov 18, 2016
Messages
83
Points
125
Age
31
Kiyago

Kiyago

Member
Joined Nov 18, 2016
83 125
Offer yako ni ndogo mkuu.nikuuzile (Jimmy) sijaitumia tokea nilipoileta.ukitaka prado new model ipo kwa 40milion
Mkuu unaonekana uko na gari nyingi zimelala tu, vp hakuna ya mil 6 ivi aina yoyote na mm nakaanza kuendesha gari??
 
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,410
Points
2,000
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,410 2,000
Mkuu unaonekana uko na gari nyingi zimelala tu, vp hakuna ya mil 6 ivi aina yoyote na mm nakaanza kuendesha gari??
Kiyago unataka ya aina gani?
 
P

passive

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Messages
241
Points
250
Age
49
P

passive

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2016
241 250
Prado new model picha plz, nahitaji
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
16,823
Points
2,000
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
16,823 2,000
Ni kweli ulichosema. Magari mengi yenye tairi nyuma vitasa mlango wa vinasumbua hasa kama unapiga route za off road.
Bora mkuu useme nimeishia kushushuliwa..

Huyo anayebisha hata guta hana
 

Forum statistics

Threads 1,285,464
Members 494,621
Posts 30,863,360
Top