Inahitajika gari Suzuki Escudo

witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
16,824
Points
2,000
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
16,824 2,000
Gari ikishakuwa na tairi nyuma...hata iwe nzuri kivepeee!
 
interface

interface

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Messages
222
Points
250
Age
39
interface

interface

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2016
222 250
Offer yako ni ndogo mkuu.nikuuzile (Jimmy) sijaitumia tokea nilipoileta.ukitaka prado new model ipo kwa 40milion
 
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,735
Points
2,000
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,735 2,000
16 milioni.
Sio rahisi kupata Suzuki model hio ya mwaka 2005 kwa bei hii! Miaka miwili iliopita nili import gari model hio ya mwaka 2007 kwa 40m. Huenda hio ni bei ya kodi tu, bila mambo mengine.
 
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
13,989
Points
2,000
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
13,989 2,000
Gari ikishakuwa na tairi nyuma...hata iwe nzuri kivepeee!
So wewe ni zaidi ya mjapani? Cruiser zina tair nyuma na zina value, we zitakua shida zako tu escudo ngumu sanaaa labda kama unatembelea kwenye rafu rod tu
 
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
13,989
Points
2,000
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
13,989 2,000
16 milioni.
Hiyo ni CIF pekee chief, ukiweka ushuru hapo sio chini ya m10 kulipia tra, ukitaka kwa aliefulia sanaaa atakupa kwa 20 (nayo inakua imechoka choka sio ka ya hiyo picha yako)
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
16,824
Points
2,000
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
16,824 2,000
Fafanua mkuu, gari yako wewe haina tyre nyuma?
Sure...nilihakikisha nanunua SUV lkn isiwe na mzigo wa tairi nyuma, Gari zenye tairi kama hiyo escudo, rav 4 ukisafiri nayo interior zinachokesha mlango wa buti huo, ( unaeza shangaa unachomoka na tairi yake) sasa hapo unaanza kusumbuana na mafundi garage kukuchomelea!

NB: NIMESHUHUDIA GARI LA FAMILIA ( rav 4 yenye tyre nyuma)
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
16,824
Points
2,000
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
16,824 2,000
So wewe ni zaidi ya mjapani? Cruiser zina tair nyuma na zina value, we zitakua shida zako tu escudo ngumu sanaaa labda kama unatembelea kwenye rafu rod tu
Huo ndio uhalisia! Gari lolote lenye tairi nyuma ni mizinguo! Na sijasema napingana na mjapani!
 
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
13,989
Points
2,000
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
13,989 2,000
Huo ndio uhalisia! Gari lolote lenye tairi nyuma ni mizinguo! Na sijasema napingana na mjapani!
Nunua gari ikijua unanunua kwanini..hutataja neno mzinguo!
 
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,410
Points
2,000
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,410 2,000
Sorry wakuu nilikuwa offline. Yeah ni sawa hiyo ni bei ya CIF tu lakini mimi sihitaji ambalo halijatumika nchini. Ukifanya research utagundua kuna magari kama hayo yaliyotumika nchini na bado yapo kwenye hali nzuri sana (namba D) chini ya milioni 23.
 
J

jonas2011

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Messages
282
Points
225
J

jonas2011

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2011
282 225
Nahitaji kununua gari used hapa bongo suzuki escudo model ya kuanzia mwaka 2005. Iwe automatic na kwenye hali nzuri sana. Engine iwe J20A.

Sample.

Nahitaji kununua gari used hapa bongo suzuki escudo model ya kuanzia mwaka 2005. Iwe automatic na kwenye hali nzuri sana. Engine iwe J20A.

Sample.

Hyo mkuu..
Mwaka 2008
Namba A
Km 98000
Iko dar
Bei 14m
But iko exmpted so kuna kakod utaclear tra kama wataka kubadil jina.sababu ilinunuliwa kwa shirika lenye msamaha wa kodi
Call 0783380123
 
Attachments:

Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,410
Points
2,000
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,410 2,000
Sure...nilihakikisha nanunua SUV lkn isiwe na mzigo wa tairi nyuma, Gari zenye tairi kama hiyo escudo, rav 4 ukisafiri nayo interior zinachokesha mlango wa buti huo, ( unaeza shangaa unachomoka na tairi yake) sasa hapo unaanza kusumbuana na mafundi garage kukuchomelea!

NB: NIMESHUHUDIA GARI LA FAMILIA ( rav 4 yenye tyre nyuma)
Ni kweli ulichosema. Magari mengi yenye tairi nyuma vitasa mlango wa vinasumbua hasa kama unapiga route za off road.
 
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,410
Points
2,000
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,410 2,000
Hyo mkuu..
Mwaka 2008
Namba A
Km 98000
Iko dar
Bei 14m
But iko exmpted so kuna kakod utaclear tra kama wataka kubadil jina.sababu ilinunuliwa kwa shirika lenye msamaha wa kodi
Call 0783380123
Bei ni poa sana lakini hapo kwenye ushuru tu ndio pamenishinda.
 
Forum statistics

Threads 1,284,955
Members 494,371
Posts 30,845,946
Top