Inahitajika gari kati ya Spacio au Raum

Wapendwa habari zenu,
Inahitajika gari inaweza kuwa Raum, Nadia au Spacio new model.
Atakayekuwa nayo aniambie hapa,iwe katika hali nzuri na itakaguliwa na fundi, karibuni.
Kwamimi sidhani kama ishu ni upatikanaji wa gari, bali wewe useme una shilingi ngapi,
 
Wapendwa habari zenu,
Inahitajika gari inaweza kuwa Raum, Nadia au Spacio new model.
Atakayekuwa nayo aniambie hapa,iwe katika hali nzuri na itakaguliwa na fundi, karibuni.

Ipo spacio ya 2003 new model CAW ni pm km ukilike.
 
Ninayo old model ina namba C taja dau lako tuone tunafanyaje

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom