Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,717
Huyu ameonesha intelligence ya hali ya juu sana pale anapoongea na watu wa chini yake na weledi wa kuogopwa kitu ambacho nilizoea kukiona kwa viongozi wakubwa wa kisocialist. Naomba huyu mtu aandaliwe kuwa rais maana so far pale CCM sioni mtu yoyote aliyebaki mwenye sifa ya urais kama J.P.M akimaliza muda wake.