wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Wake up call!
Wakuu, kuna habari ambazo sio poa zinaendelea juu ya watu weusi huko Marekani. Kitu cha kutisha na kusikitisha ni kwamba kuna tetesi kuwa Illuminate a.k.a White Supremists wanafanya kazi za mauaji ya watu weusi wanaoonekana wana develop power ya aina yoyote.
Kama wakuu mnakumbuka kifo cha Kobe Bryant kilikua kama kina utata fulani. Ile ajali ya ndege unaambiwa haikua bahati mbaya. Kile kifo chake kilipangwa kwa makusudi, ni kama alivyokufa Samora Machelle
Pia, kama mnakumbuka kifo cha Bob Marley cha kufa na saratani. Nasikia kumbe ile saratani ilipandikizwa kwenye mwili wake bila yeye mwenyewe kujua ikawa inamla mudogomudogo.
Kifo cha mwisho ambacho ndo kimetokea juzijuzi na ndio kimenifanya niandike hili gazeti. Ni kifo cha CHADWICK BOSEMAN. Huyu jamaa kama mnavyojua ali act movie inaitwa Black Panther. Alikua icon kwa watu weusi kutokana na hiyo movie na ilimpa umaarufu mpaka wazungu wakawa wana muhofia. Cha ajabu huyu jamaa nae eti ghafla kafa na kansa.
Nilivoelewa game: ni kwamba wakuu, kuna spiritual war ya hatari sana inayoendelea kati ya black na white race. White people hawataki kabisa kuona black superiority/power ya aina yoyote ina rise. Huwa wanakua insecure kinoma.