Inaelezwa ‘Illuminates’ wanaua watu weusi wanaonekana kupata nguvu kama Kobe na Chadwick (Black Panther)

Inferior complex mind, kifo ni sifa moja wapo ya viumbe hai,
Wewe ndo inferior kwa kuogopa kutetea humanity.
Unajiona una akili kwa kunijudge. Kumbe uwezo wako wa kufikiri upo inferior to the core. Na huna ulicho contribute kutetea human race. Ni rahisi kuponda content ya mtu kwa maneno machache. Lakini ni ngumu kumpinga mtu kwa fact na point.

Ushauri: ukitaka kupinga hoja. Andika kitu kirefu chenye maana watu wakuelewe. Sio mtu anaweka content yake unarusha maneno kama, "acha upumbavu" mara "wewe hujielewi".

Haikusaidii, inazidi kuanika inferiority yako. Na insecurity.
 
Wake up call!

Wakuu, kuna habari ambazo sio poa zinaendelea juu ya watu weusi huko Marekani. Kitu cha kutisha na kusikitisha ni kwamba kuna tetesi kuwa Illuminate a.k.a White Supremists wanafanya kazi za mauaji ya watu weusi wanaoonekana wana develop power ya aina yoyote.

Kama wakuu mnakumbuka kifo cha Kobe Bryant kilikua kama kina utata fulani. Ile ajali ya ndege unaambiwa haikua bahati mbaya. Kile kifo chake kilipangwa kwa makusudi, ni kama alivyokufa Samora Machelle

Pia, kama mnakumbuka kifo cha Bob Marley cha kufa na saratani. Nasikia kumbe ile saratani ilipandikizwa kwenye mwili wake bila yeye mwenyewe kujua ikawa inamla mudogomudogo.

Kifo cha mwisho ambacho ndo kimetokea juzijuzi na ndio kimenifanya niandike hili gazeti. Ni kifo cha CHADWICK BOSEMAN. Huyu jamaa kama mnavyojua ali act movie inaitwa Black Panther. Alikua icon kwa watu weusi kutokana na hiyo movie na ilimpa umaarufu mpaka wazungu wakawa wana muhofia. Cha ajabu huyu jamaa nae eti ghafla kafa na kansa.

Nilivoelewa game: ni kwamba wakuu, kuna spiritual war ya hatari sana inayoendelea kati ya black na white race. White people hawataki kabisa kuona black superiority/power ya aina yoyote ina rise. Huwa wanakua insecure kinoma.


Ni Yesu Pekee ana nguvu na uwezo dhidi ya hawa mashetani. Ijulikane kwamba si Americans tu. Hata Africa katika Africa haya mashetwani hayana agenda yoyote sahihi zaidi ya mikakati ya kutu eradicate. Angali Bill Gates na Fake Vaccinations zake za Corona na hasa sasa anavyolazimisha zifanywe chapu chapu Africa kabla hamjazinduka.

Africa ili kuwa salama twendeni na Yesu Kristo Peke yake.
 
Mkuu naomba nieleweke, this is not about black and white, its about good vs evil vs power.
Its not like every white person is evil and its not like every black person is innocent.

Every steriotype can be found in any community. So stop trolling kuaminisha watu kwamba mimi ni mbaguzi wa wazungu. Sijasema hivo.

Mimi ni mpinzani wa maovu na sio whites. Kuwa muelewa. Kuna whites ambao ni good people na wanahitaji recognition in positive way. So stop spreading propaganda. I know every trick of framing someone into something.
And why are you still alive among your dead peers?
 
Wewe ndo inferior kwa kuogopa kutetea humanity.
Unajiona una akili kwa kunijudge. Kumbe uwezo wako wa kufikiri upo inferior to the core. Na huna ulicho contribute kutetea human race. Ni rahisi kuponda content ya mtu kwa maneno machache. Lakini ni ngumu kumpinga mtu kwa fact na point.

Ushauri: ukitaka kupinga hoja. Andika kitu kirefu chenye maana watu wakuelewe. Sio mtu anaweka content yake unarusha maneno kama, "acha upumbavu" mara "wewe hujielewi".

Haikusaidii, inazidi kuanika inferiority yako. Na insecurity.
Umepanic coz hakuna anayekuunga mkono mawazo finyu, buree kabisa
 
Post yangu ni chai kiaje mkuu!?

Mimi nimeuliza tu swali huyu Kobe ni Zaid ya Jordan?Labda kwa kuongezea na list uloitaja ww, je huyu Kobe au Chadwik ni zaid sanaaaa ya hao wote mpaka wamu eliminate? Ana nguvu gan kuwazid hao
Nimenukuu Post yako kukazia kuwa kuna watu walikuwa na influence kuliko Kobe na Boseman.
Samahani kwa kutokuwa wazi zaidi. Naongezea tu ulichosema!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom