Inaelezwa ‘Illuminates’ wanaua watu weusi wanaonekana kupata nguvu kama Kobe na Chadwick (Black Panther)

GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
223
250
Wake up call!

Wakuu, kuna habari ambazo sio poa zinaendelea juu ya watu weusi huko Marekani. Kitu cha kutisha na kusikitisha ni kwamba kuna tetesi kuwa Illuminate a.k.a White Supremists wanafanya kazi za mauaji ya watu weusi wanaoonekana wana develop power ya aina yoyote.

Kama wakuu mnakumbuka kifo cha Kobe Bryant kilikua kama kina utata fulani. Ile ajali ya ndege unaambiwa haikua bahati mbaya. Kile kifo chake kilipangwa kwa makusudi, ni kama alivyokufa Samora Machelle

Pia, kama mnakumbuka kifo cha Bob Marley cha kufa na saratani. Nasikia kumbe ile saratani ilipandikizwa kwenye mwili wake bila yeye mwenyewe kujua ikawa inamla mudogomudogo.

Kifo cha mwisho ambacho ndo kimetokea juzijuzi na ndio kimenifanya niandike hili gazeti. Ni kifo cha CHADWICK BOSEMAN. Huyu jamaa kama mnavyojua ali act movie inaitwa Black Panther. Alikua icon kwa watu weusi kutokana na hiyo movie na ilimpa umaarufu mpaka wazungu wakawa wana muhofia. Cha ajabu huyu jamaa nae eti ghafla kafa na kansa.

Nilivoelewa game: ni kwamba wakuu, kuna spiritual war ya hatari sana inayoendelea kati ya black na white race. White people hawataki kabisa kuona black superiority/power ya aina yoyote ina rise. Huwa wanakua insecure kinoma.
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
6,635
2,000
Chadwick Bozeman alikuwa na kansa ya utumbk ambayo huwa inakuwa developed kutokana na mfumo wa maisha.

Unachokisema ni kweli kipo kuwa jamii ya watu weupe yaani wazungu (Caucasian), waarabu, wachina, wahindi. Hawa wote wanatuona sisi ni dhaifu na katika Global community sisi wanatutazamia kuwa wamwisho kitabaka.

Hii inajidhihirisha hata katika maswala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii.

So la msingi ni kujua namna ya kuwakabili na sisi tufocus katika kujijenga na kuwa imara zaidi.

Tuanze na kuimarisha familia kwanza, familia imara hujenga, koo imara, ambazo huzaa jamii imara.
 

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,074
2,000
Chadwick alikuwa kwenye treatment ya cancer kabla hata ya kuanza kushoot mzigo wa Black panther yani ilikuwa anashoot huku ana take pills zake na alikuwa under medical surveillance ni kweli Wazungu hawafurahiwi na Grooming ya black race.

Shida ya sisi black tumejaa uozo vichwani mtu kama birdman au Wayne anakataa kabisa kuwa africa sio kwao na wala asihusishwe na Mambo ya africa ila still tuna watu tuko nao proud kama Akon ambae now anajenga jiji huko Senegal.
 

Tom McCarthy

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,445
2,000
Hapo kwa Chad ni uongo wa kutupwa.

Chad kasign mkataba na marvel toka 2014 kucheza muvi za black panther.

Cancer ilikua na 4yrs means that imegundulika 2016. Kama imegundulika 2016 ipo stage iii maana yake imemuanza muda mwingi sana kabla ya kusign na marvel.

Pia kama kigezo ni BP imempa umaarufu hivyo basi kulikua hakuna maana yeye kuuawa kwasababu Comic ya Black panther bado ipo na lazima ichezwe na mtu mweusi. So wangekua na lengo hilo wasingemuua bali wangesitisha utengenezaji wa muvi za Black Panther.

Hata hivyo kwa mujibu wa comic Tchala alitakiwa afe kwenye muvi zijazo Dada ake ndio anabakia. Labda waende kinyume na comics So Chad bado asingekua maarufu kihivo kama black panther.
 

Tom McCarthy

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,445
2,000
Wewe unadhani ameuliwa na hao wazungu?
Unadhani kwanini wamuue Chadwick?
Nilisoma mahala kwamba jamaa alikuwa diagnosed na cancer kabla hata hiyo black panther haijatoka!
Chadwick alikuwa kwenye treatment ya cancer kabla hata ya kuanza kushoot mzigo wa Black panther yani ilikuwa anashoot huku ana take pills zake na alikuwa under medical surveillance ni kweli Wazungu hawafurahiwi na Grooming ya black race
Mbali na familia yake hakuna mwingine aliyefahamu ugonjwa wake.
 

GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
223
250
Wakuu mbona hii jamii forum haiko safe, kuna mtu kachuku kichwa cha habari kakibadilisha. Mimi kwenye kichwa cha habari nimeandika "waafrika tuamke", kuna mtu kachukua post yangu ka edit kichwa cha habari, tena mbaya zaidi ametumia hiyo hiyo account yangu. Kama ndo hivi tutaacha kupost vitu. Kumbe mtu anaweza chukua post yako aka kuframe kwenye kit8 ambacho ulikua hujakiongea.
 

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,074
2,000
Wakuu mbona hii jamii forum haiko safe, kuna mtu kachuku kichwa cha habari kakibadilisha. Mimi kwenye kichwa cha habari nimeandika "waafrika tuamke", kuna mtu kachukua post yangu ka edit kichwa cha habari, tena mbaya zaidi ametumia hiyo hiyo account yangu. Kama ndo hivi tutaacha kupost vitu. Kumbe mtu anaweza chukua post yako aka kuframe kwenye kit8 ambacho ulikua hujakiongea
Ni mods hao mkuu
Wazee wa ku scroll down mpaka accept hamjifichi hapo ni T and C zimekuwa applied, mods wanao uwezo wa kufanya Uhariri wa thread
 

Andrew Luhamo

Verified Member
May 10, 2013
337
500
Punguza porojo Mkuu,unasema Boseman amekufa ghafla?ugonjwa anao tangu muda na unafahamika.


Pia hao wote walikuwa na kipi cha ajabu ,ambacho kililetea mafanikio Afrika? Utasema ata George Floyd nae ameuawa na hao hao kumbe ni utata wake wa matumizi ya pesa bandia.
 

GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
223
250
Sio porojo.sema uelewa wako ni mdogo kwenye haya mambo. Fanya utafiti mkuu. Acha kulala.
Mnakua fasta sana kuponda mambo yanayowatetea ila mnakua supportive sana kwenye mambo yanayowasababishia matatizo.
Punguza porojo Mkuu,unasema Boseman amekufa ghafla?ugonjwa anao tangu muda na unafahamika.

Pia hao wote walikuwa na kipi cha ajabu ,ambacho kililetea mafanikio Afrika? Utasema ata George Floyd nae ameuawa na hao hao kumbe ni utata wake wa matumizi ya pesa bandia.
 

Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,496
2,000
Unaweza kuwa una point ila hujaiweka sawa, Kwanini useme Illuminati ndio wanawaua black people? Kwanini iwe hivyo? Unadhani Illuminant ni special kwa white people tu? What is Illuminati? Hakuna waafrika ambao ni Illuminati na uongozi mkubwa tu kwenye grand lodge?

Usichanganye mambo, hapo ni sawa na kusema Mungu ni wa watu wa race fulani tu, kitu ambacho si kweli.. Kama kuna agenda za ngozi nyeupe kudhuru ngozi nyeusi sawa labda zipo ila kuhusisha imani za watu wengine kwenye hizo njama ndio kupotoka huko na kukosa maarifa. Tafiti kwanza na ujiridhishe kile unachotaka kukiwasilisha kwa jamii. Vitu ambavyo viko nje ya upeo wako achana navyo, vitakusumbua tu na kukutesa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom