Inadaiwa mchezaji Cloutus Chama anaweza kurudi Simba

Nilitegemea Louis ndiye angekuwa wa kwanza ku-flop kabla ya Chama.
 
Moja ya vipengele vya mkataba vinasema ndani ya miaka mitatu Chama akirejea Tz lazima acheze Simba au kipaumbele Cha kwanza ni kucheza Simba na si timu nyingine yoyote. Labda Simba iwe haina mpango naye.

Hivyo Hersi anawadanganya mashabiki wa Yanga km mazuzu huku akijua ni kitu ambacho hakiwezekani.

Mkataba wa Miquisone ni hivyo hivyo.
akvunja mkataba hivyo vipengele havifanyi kazi, anakuwa mchezaji huru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom