Inadaiwa kuwa serikali inashinikiza mahakama kuu kuridhia malipo ya dowans. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inadaiwa kuwa serikali inashinikiza mahakama kuu kuridhia malipo ya dowans.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Jan 4, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wadadisi wengi wa habari niliozungumza nao, wanatafsiri kitendo cha baadhi ya viongozi waandamizi serikalini, kutamka wazi hata kabla ya mahakama kuu kuridhia, kwamba serikali haina budi kuilipa Dowans fidia iliyotolewa na jopo la upatanishi, kuwa kina lengo la kuishinikiza mahakama kuu kuridhia fidia hiyo. Je hayo yana ukweli wowote? Nakaribisha maoni.
   
Loading...