Inadaiwa kuna tukio la Ujambazi Mtaa wa Lumumba, DAR

wafuasi wa Mbowe lazima watashangilia, na huu ndio ushahidi tosha kuwa mbowe aliwafundisha na kuwajenga wafuasi wake kuwa na vitendo vya kihalifu na kushangilia uhalifu unapo tokea au kutendeka.
mifano mingine;

1 Mboe na genge lake walifurahia sana baada ya kifo cha Hayati JPM.

2. walifurahia sana baada ya askari 3 kuuwawa na Gaidi Hamza.

hili genge la mboe linapaswa lifuatiliwe kila kona.

Genge au wafuasi wa mboe kuna wauza madawa ya kulevya, majambazi, wavuta bangi na kila aina ya takataka, yaani wana uhusiano na kila aina ya uhalifu.
Noma sanaa
 
I would suggest under new constitution:
-Raisi asiwe mwenyekiti wa chama kuepusha kujikita na interest za chama kuliko taifa na kuvua watu uanachama kwa kukomoa.

-Budget ya bunge isitegemee serikali.

-baraza la mawaziri litoke kwa wananchi.

-wabunge kwa wananchi.

-Tume ya uchaguzi isiwe appointed na rais.

-Watoto wa wastaafu wawe banned kushika nafasi influential za serikalini kama urais, uwaziri atleast waishie kwenye ubalozi labda na hii si kwa ubaya bali kwa manufaa ya umma. Kwa kampuni binafsi wako free kuwa hata wakurugenzi.

-Ajira za serikalini ziwe za mkataba wa 3-5 years huku maslahi yakiboreshwa ili watu wakipata uzoefu warudi kujiajiri. Mikataba iwe extended kulingana na utendaji kama mtu ana perform aongezewe muda.

-Raisi aweze kufunguliwa mashtaka na wananchi direct bila approval ya DPP.
 
Wale vijana wawili anaowachunguza wamekosa nini ?
Walipanda juu wakaenda kwa nyumba ya mmama mmoja.Mmama hakuwatambua na akapiga mayowe na mbiu.Jirani wa mama akatoa bastola na kufyatua risasi tatu mbinguni
 
umenena mkuu.
vyombo vya ulinzi na usalama wanapaswa wafahamu kuwa genge la mbowe ni la kihalifu.
na baadhi ya wafuasi wake na wahalifu.
Inaonekana wazi unaroho mbaya sana ya kishetani. Inamaana mtu akiwa kinyume na chama cha ccm tayari ni mhalifu?
 
I would suggest under new constitution:
-Raisi asiwe mwenyekiti wa chama kuepusha kujikita na interest za chama kuliko taifa na kuvua watu uanachama kwa kukomoa.

-Budget ya bunge isitegemee serikali.

-baraza la mawaziri litoke kwa wananchi.

-wabunge kwa wananchi.

-Tume ya uchaguzi isiwe appointed na rais.

-Watoto wa wastaafu wawe banned kushika nafasi influential za serikalini kama urais, uwaziri atleast waishie kwenye ubalozi labda na hii si kwa ubaya bali kwa manufaa ya umma. Kwa kampuni binafsi wako free kuwa hata wakurugenzi.

-Ajira za serikalini ziwe za mkataba wa 3-5 years huku maslahi yakiboreshwa ili watu wakipata uzoefu warudi kujiajiri. Mikataba iwe extended kulingana na utendaji kama mtu ana perform aongezewe muda.

-Raisi aweze kufunguliwa mashtaka na wananchi direct bila approval ya DPP.
Kuhusu mkataba wa ajira serikalini, hakuja kitu Kama hicho
 
Back
Top Bottom