Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,458
- 29,151
Yaani wafe tu,Wengi wamekufa sn
Hakuna namna. Saa zingine malipo ni hapa hapa. Mungu haoni tabu kukuondoa wewe mmoja ili wengi wengine wapone. Imefikia mahali mtu ukisikia Jamii ya hawa watu wamepata shida fulani au kufariki kabisa unafurahi.