Wengi wamekufa snWashamba Sana hao jamaa
Bashite enzi zake
CCM B wakijipigia Kura,halafu mshahara ni uleule na madeni ya kutosha kwa mangiWazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Tulia wewe nani wa kususia ruzuku?Malyenge na mkwe wake huko ushirombo wasichukue ruzuku?Chadema haijapokea hata sentano kipande ya ruzuku
Sio hao tu. Lakini pia hawa wamesababisha laana shetani mkuu wao akatoweka kama upepo.Nchi hii tumepitia kipindi kigumu Sana. Waliofanya haya wakatubu Sasa hata wakifa basi Mungu awe amewasamehe.
Kuna watu wako kwenye ofisi wasizostahili sababu ya huu uhuni. Unapofanya haya jua tu unawakomoa pia na Ndugu zako ambao wataongozwa na watu wasiostahili.
Sababu ya vihela vichache unaendekeza njaa zako na kuharibu tukio kubwa (uchaguzi) kama hili, hivi unajua ni gharama kiasi gani zimetumika kuandaa hili tukio? Unajua ni muda gani watu wameupoteza mpaka unakuja kuwaharibia maamuzi yao?
Hivi wanajua kua ushenzi huu unachelewesha demokrasia Kwa miaka kama mitano na pengine ikawa zaidi? Wanajua kua Demokrasia ni sehemu ya Maendeleo?
Ni Maji ya Bendera ya Aina gani uliyokunywa kiasi akili yako imekua mgando na kuwaza kua ni wale tu ndio wanastahili kukaa pale? Nini kikufanye uamini kua wengine hawastahili? Na kama mawazo yako wewe mmoja yanaamini wengine hawastahili, kwanini usiache basi uamuzi wa "Wengi Wape" uamue nani akae hapo? Kwanini utake yule unaemuona wewe kua anafaa ndo awe anafaa na Kwa wengine hata kama sio ridhaa yao?
Aliyemuua alishatoweka yuko kuzimuMkuu umemsahau aliemuuwa Chacha Wangwe kwa sababu ya kutaka kugombea uenyekiti wa chama. Huyu naona Mungu kaanza kumhukumu hapa hapa duniani.
Bilashaka wamepata funzo.Life yenyewe ni fupi arafu kuna wa2 wanaiba kura 😁 zulma haimuachi mutu salama ata kidogo.
Enzi hizo Daudi Albert Bashite akiwa katika kilele chake cha mafanikio!! 😁😁😁😁 Yaani ni full misaluti! Full kutetemekewa!! Full kuogopwa!!😁😁😁
Halafu wanakuaga na dhiki balaa, kuna Mtendaji mmoja juzi ananililia shida nikamtukana kimoyomoyo huku usoni najifanya kumuonea hurummaNchi hii tumepitia kipindi kigumu Sana. Waliofanya haya wakatubu Sasa hata wakifa basi Mungu awe amewasamehe.
Kuna watu wako kwenye ofisi wasizostahili sababu ya huu uhuni. Unapofanya haya jua tu unawakomoa pia na Ndugu zako ambao wataongozwa na watu wasiostahili.
Sababu ya vihela vichache unaendekeza njaa zako na kuharibu tukio kubwa (uchaguzi) kama hili, hivi unajua ni gharama kiasi gani zimetumika kuandaa hili tukio? Unajua ni muda gani watu wameupoteza mpaka unakuja kuwaharibia maamuzi yao?
Hivi wanajua kua ushenzi huu unachelewesha demokrasia Kwa miaka kama mitano na pengine ikawa zaidi? Wanajua kua Demokrasia ni sehemu ya Maendeleo?
Ni Maji ya Bendera ya Aina gani uliyokunywa kiasi akili yako imekua mgando na kuwaza kua ni wale tu ndio wanastahili kukaa pale? Nini kikufanye uamini kua wengine hawastahili? Na kama mawazo yako wewe mmoja yanaamini wengine hawastahili, kwanini usiache basi uamuzi wa "Wengi Wape" uamue nani akae hapo? Kwanini utake yule unaemuona wewe kua anafaa ndo awe anafaa na Kwa wengine hata kama sio ridhaa yao?
Muuaji sahizi atakuwa anaangalia andiko lako afu anacheka na kusema usilolijua sawa na usiku wa giza.Aliyemuua alishatoweka yuko kuzimu
Kwahiyo unataka sisi wananchi tuseme wale polisi walikuwa upande wa Chauma ?Tatizo ni kwamba kwenye hiyo video clip hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba hizo kura zinazoingizwa humo ni za chama gani...
Hivyo ni rahisi kwa vyama vya siasa kukana kuhususika na huo wizi wa kura