Inachukua muda gani kuwa approved na approver ili kupata check number na kuanza kupata mshahara endapo taarifa zako zimeisha tumwa

Mimi mwenyewe hili linanihusu nimehama halmshauri moja kwenda tasisi ila mshahara bado napokelea huko niliko kuwa zamani sijui nafanyaje niliko toka afisa anasema katuma dodoma kwa aprover
Tatizo huwa maafisa utumishi wanatuma taarifa lakkini hawafuatilii kama huyo approver ameipata taaifa na kuifanyia kazi. Mfano, taarifa inaweza isifike au yule afisa hayupo; kwa hiyo, unawezacheleweshewa malipo yako kwa namna hiyo
 
Kuweni wavumilivu tatizo hamjui mfumo unavyofanya kazi. Mfano HR wako ametuma documents zako akajibiwa na approver ziko sawa ila asubiri kwa muda kuna mambo ya kiutendaji .....unategemea akirudi kwako atakujibu nini? Hawezi kukuambia kila kitu vingine ni Siri.
 
Tatizo huwa maafisa utumishi wanatuma taarifa lakkini hawafuatilii kama huyo approver ameipata taaifa na kuifanyia kazi. Mfano, taarifa inaweza isifike au yule afisa hayupo; kwa hiyo, unawezacheleweshewa malipo yako kwa namna hiyo
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom