Inachukua muda gani kujifunza na kufahamu vizuri mchezo wa karate?

Ngumi au Self Defense ni umakini wako tu yani ukiwa makini tu bila hata ya Mafunzo yoyote yale unaweza kujilinda vizuri tu, maana kule Hawakufundishi namna ya kuwa makini na adui ila wao wanakufundisha namna ya kurusha ngumi, kurusha teke, namna ya kupangua mashambulizi, jinsi ya kusimama n.k kwahyo wewe kama umezubaa hata kama una black belt unaweza ukagongwa vizuri tu na mhuni wa kitaa anayejiamini! Na asikudanganye mtu likitokea Vagi hautakumbuka chochote kile sijui nirushe ngumi hivi au vile au sijui nisimame hivi yani adui hakupi nafasi ya kuanza kurevise ulichofundishwa kwahyo Self Defense ni Umakini wako wewe mwenyewe mwili wako unatakiwa tu kuwa na utayari, hizo nyingine mbwembwe tu movie zisiwadanganye yale matukio yamepangwa
Hili Ni jibu tosha kabisa
 
Hiyo Krav Maga ni hatari sana, kwa asilimia kubwa inafundisha kuua tu, na hata mwanafunzi awapi mafunzoni anatakiwa kuwa makini sana.
inafundishwa wapi hii wakuu nikajiunge..?Maana Gojuryu na Shotokan nimepiga japo juu kwa juu ila nmevutiwa na Krav Maga.
 
Ngumi au Self Defense ni umakini wako tu yani ukiwa makini tu bila hata ya Mafunzo yoyote yale unaweza kujilinda vizuri tu, maana kule Hawakufundishi namna ya kuwa makini na adui ila wao wanakufundisha namna ya kurusha ngumi, kurusha teke, namna ya kupangua mashambulizi, jinsi ya kusimama n.k kwahyo wewe kama umezubaa hata kama una black belt unaweza ukagongwa vizuri tu na mhuni wa kitaa anayejiamini! Na asikudanganye mtu likitokea Vagi hautakumbuka chochote kile sijui nirushe ngumi hivi au vile au sijui nisimame hivi yani adui hakupi nafasi ya kuanza kurevise ulichofundishwa kwahyo Self Defense ni Umakini wako wewe mwenyewe mwili wako unatakiwa tu kuwa na utayari, hizo nyingine mbwembwe tu movie zisiwadanganye yale matukio yamepangwa
Urongo mtupu
 
Shotokan Karate ndio inafundishwa kwa wingi nchini na duniani kote..
Suala la kujua basics ni wepesi wa mwili na akili yako..ila tambua kwamba hakuna mwisho kwenye hiyo sanaa...ni suala la maisha yako yote...ni kama maji ya moto kama huyachemshi yanapoa kabisa na kuwa bardiiiii...
 
Ngumi au Self Defense ni umakini wako tu yani ukiwa makini tu bila hata ya Mafunzo yoyote yale unaweza kujilinda vizuri tu, maana kule Hawakufundishi namna ya kuwa makini na adui ila wao wanakufundisha namna ya kurusha ngumi, kurusha teke, namna ya kupangua mashambulizi, jinsi ya kusimama n.k kwahyo wewe kama umezubaa hata kama una black belt unaweza ukagongwa vizuri tu na mhuni wa kitaa anayejiamini! Na asikudanganye mtu likitokea Vagi hautakumbuka chochote kile sijui nirushe ngumi hivi au vile au sijui nisimame hivi yani adui hakupi nafasi ya kuanza kurevise ulichofundishwa kwahyo Self Defense ni Umakini wako wewe mwenyewe mwili wako unatakiwa tu kuwa na utayari, hizo nyingine mbwembwe tu movie zisiwadanganye yale matukio yamepangwa
Jidanganye...jidanganye
 
Napenda sana na nimefanya sana Kung fu

1. Tambua sababu ya wewe kujifunza mchezo husika. Unataka nini kwenye mchezo huo? Wewe self defense

Binafsi nilitaka kujijengea nidhamu binafsi, kuimarisha afya ya akili na mwili na kujijenga kiroho.

2. Tambua bidii katika kujifunza ndiyo nguzo, usiingie kutaka kujua self defense tu na kutoweka. Kuna makundi ya watu,

Kuna anayejua kucheza kata na anazo technique nyingi ila Hana nguvu ya mwili (ndani na nje) huyu akikutana na mtu mwenye nguvu na imara kimwili hatoboi kabisa. Kuna watu wana mikono mizito yaani wewe kublock tu mkono wake hutakuwa tofauti na mtu aliyepigwa.

Kuna yule mwenye nguvu na uimara wa mwili ila Hana mbinu. Huyu akikutana na mwenye mbinu na yupo imara ni lazima atapigwa.

Binafsi huwa naona ni bora zaidi kuujenga mwili kwa mazoezi imara kisha ndio uanze kujifunza hizo kata na techniques. Ila ukitaka uimara na wakati huo pia wataka master kata, hapa jiandae kwa mazoezi yaliyoshiba ili kuwa vizuri yaani nguvu na techniques.

3. Fanya martial arts yenye manufaa kwako, nidhamu itawale maana ndiyo nguzo kuu katika mchezo wa ngumi.

Mwisho acha kuuliza muda wa kuwa bora kwenye mchezo wa ngumi. Ubora wa karateka haitegemei muda ila ni bidii ya kujifunza. Na hii mchezo jitahidi ukianza usiache yaani endelea kufanya mpaka siku unakufa.

Marial arts ni maisha, hivyo ishi mchezo na uifanye kitu ambacho ni lazima kufanya kila siku ya maisha yako.
 
Hapa ni kwa wale wajuzi wa mambo ya MARTRIAL ARTS.

Nimedhamiria kuingia mazoezini kwa mwanangu mmoja hivi kwa ajili ya kupata mbili tatu kuhusiana na mchezo huu wa ngumi.

Swali langu ni je, naweza kuchukua muda Gani kuwa fit katika hili?

Sina maana kwamba sijui niwe na mkanda mweusi, sijui wa njano (NO)

mi nahitaji kujua self-defence tu lakini kwa kiwango kizuri.

Swali la nyongeza.

Ni mchezo gani mzuri zaidi kwa ajili ya self defence?

NAWASILISHA
Ukifululiza kuonewa sana Mtaani, Kuporwa Demu au Mke na Kuandamwa kwa Kukabwa na Vibaka inachukua muda mfupi mno Kuujua huo ( huu ) Mchezo.
 
Hiyo ya sanaa ya mapigano iliyotumika katika movie ya Ong Bak ya Tony Jaa inafahamika kama Muay Thai
Na pia haikuwa Muay Thai ilikuja kuitwa hivyo baada ya wao kuhitaji mchezo kwa ajili ya mashindano na kuondoa kabisa techniques ambazo zilikuwa kwa ajili ya kuua adui vitani awali ilijulikana kama MUAY BORAN.

Hii wa Thailand waliitumia katika vita kupambana na adui na kwa sasa ni vijijini sana ndo kuna mabaki ya wataalamu wake ambayo huyo Tony Jaa baba yake pia aliwahi kuicheza na kumpa vitu yeye pia.

Ukiifuatilia vizuri kuna techniques humo zinahusu wanyama kama Mamba, Nyani, Tembo, Nyati n.k

Bongo hii mtu akikwambia kaicheza na yupo fiti huyo muongo. Hiyo ni Traditional Martial Art ambayo ili uwe fiti ni lazima ufundwe kule kule na wenyewe kwanza siyo kuangalia you tube tu kuna matambiko yake pia.
 
Upo sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom