Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

😂😂😂😂we sio wa kunifanyia ivo ujue
😅😅😅endelea kutulia huko ulipo dada..mambo yashakua mengi huku mtaani😅😅😅kesho nitakuhadithia yatakayojiri leo.
 
Sidhani kama haya mambo yana sheria but I think whenever you feel like you are ready or comfortable. But it depends on ,
1.Ni nani amekatisha hayo mahusiano.
2.How long the relationship lasted.
3. Sababu ya kuachana.
4. Umeipokea namna gani hiyo break up.

Maelezo,
Kama umeishi na mtu miaka mitano na mkaachana kusahau na ku-move on gharama yake ni tofauti na mtu mliyekuwa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa.

Kama wewe ndie uliyekatisha haya mahusiano, unaweza kuchukua muda mfupi kuingia kwenye mahusiano mapya kwa sababu hautakuwa na maumivu sana, ni maamuzi yako. Lakini aliyeachwa anakuwa na maumivu zaidi na hasira na kujutia hivo ni vizuri kama akichukua muda ku-heal.

Sababu ya kuachana ni ipi? Wengine wanaachana kwa sababu wamekubaliana kwa sababu nzuri tu. Labda wameona hayo mahusiano hayana maana, au wanawapenda watu wengine. Mfano, wewe unadate na mtu lakini yeye anampenda mtu mwingine. Mnakubaliana kila mtu aende kwa ampendaye. Kwahiyo unaweza kudate mwingine hata lisaa baada ya kuachana.

Having said that, inabidi tu uingie kwenye mahusiano pale unapohisi upo tayari, na sio kwa sababu unataka faraja kwa muda huo au una huzuni au unataka kum-show Ex wako.
Umenikumbusha kitabu fulani cha Myles Monroe
Waiting and Dating.
 
Inategemea. First heartbreak nilikaa miaka 2 hata simu sms nilikua sijibu nikitongozwa nakasirika. Siku hizi as soon as nikipata mtu mpya basi na move on na maisha yangu.
 
Back
Top Bottom