Inachofanyiwa Fastjet ni sahihi....?

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,427
37,635
Kwa mujibu wa TCCAA sababu kubwa iliyopelekea kusitishiwa Leseni ni deni la bil.6 inalodaiwa na wadeni wake.
Naomba kuuliza kwa mnaofahamu , hivi ATCL iliwalipa kwanza wadeni wake ndo ikaruhusiwa kuanza safari? Au kinachosikika kwa baadhi ya watu kwamba serikali imeanzisha mmiliki tofauti wa ndege mpya na kujifanya kukodisha kwa ATCL?
Kama shirika la serikali nalo linadaiwa tena zaidi ya hao Fastjet, je, ikisemwa sababu halisi siyo deni bali kubinya wapinzani wa ATCL ibaki peke yake sokoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile shirika la ATC ni shirika la umma, mhimili wake mkuu ni serikali.
Shirika hilo lilikuwa na madeni mengi kupita IATA clearance house kiasi cha kufanya code yake isitishwe. Hili ndilo lililofanya shirika hilo kutofanya safari zake kimataifa. Serikali imelipa madeni hayo na hivi sasa ATC iko kwenye mchakato wa mwisho kuweza kurudishiwa hiyo code ili iweze kufanya kazi zake kimataifa.
 
Inafanyiwa na nani?
Waambieni walipe deni waendelee na biashara wasitafute public sympathy
 
Kwa vile shirika la ATC ni shirika la umma, mhimili wake mkuu ni serikali.
Shirika hilo lilikuwa na madeni mengi kupita IATA clearance house kiasi cha kufanya code yake isitishwe. Hili ndilo lililofanya shirika hilo kutofanya safari zake kimataifa. Serikali imelipa madeni hayo na hivi sasa ATC iko kwenye mchakato wa mwisho kuweza kurudishiwa hiyo code ili iweze kufanya kazi zake kimataifa.
Fastjet atalipiwa na nani?
 
Katika pita pita zangu mtandaoni nika bahatika kuona KASUKU mpya aliyetarajiwa kutua bongo kitu cha ATR

1546672909015.png
 
Back
Top Bottom