Ina umuhimu kwa wafanyabiashara wa maduka na pharmacy!ī


kaka9

kaka9

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Messages
268
Likes
90
Points
45
kaka9

kaka9

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2017
268 90 45
0b2692e88aae270161e476dec2a6be87.jpg
Je wewe ni mfanyabiashara wa Duka lolote?,kama jibu ni ndio!,basi hii sio ya kukosa!"Smart IT Solutions"imekuletea mifumo ya Teknolojia(Software)itakayokusaidia kuweza kuhifadhi Taarifa Za Biashara yako na kusimamia vizuri!,kwa kutumia computer yako,mifumo yenyewe ni kama ifuatavyo.


(1)"Shop management system"huu ni mfumo uliotengenezwa mahususi kwa ajili ya kutumika kwenye Duka lolote lile iwe la bidhaa za kawaida,Hardware,Supermaket n.k,mfumo huu husaidia kuhifadhi Taarifa za bidhaa ulizonazo Dukani kwako,mauzo na faida unayoipata kila Siku!kwa kutumia computer yako tu.

(2)"pharmarcy management system",huu ni mfumo umetengenezwa maaulumu kwa ajili ya kutumika kwenye Maduka ya madawa na hospitalini,mfumo huu ni moja Kati ya mfumo bora kabisa kuwahi kutumika hapa chini!,unatunza vizuri taarifa zote za Duka la Dawa kuanzia madawa,mauzo na Faida.

Gharama za huduma zetu ni nafuu sana kwa mteja yoyote mwenye nia anaweza kuzimudu,kwa mawasiliano zaidi kwa ajili ya Huduma zetu!,tuwasiliane : 0762508455.
 

Forum statistics

Threads 1,237,971
Members 475,809
Posts 29,308,297