Ina shangaza sana

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Hivi mtu umeendazako bar
Unapata kinywaji na washkaji
Mara mmoja anaanza kukuuliza maswali juu ya mke wako
ooh Je unamwamini sana..?
ooh mkeo ni mtakatifu eeeh?
ooh mara mkeo sijui vitu ganii..?
Yaani maswali juu ya mkeo tu!!!!1

Huyu mtu utamchukuliaje??
Au uta mfanyaje?
Maana umeshamwambia mie sipendi kuulizwa maswali au kuongelea mambo ya wake zetu bar
Lakini anaendelea.....
 
huyo anataka bia tu, mwagizie round kam 3 hivi mfululizo, atatulia mwenyewe!
 
huyo atakuwa anakuchakachulia mkeo
 
mh lazima ana jambo moyoni huyo halafu sio mstaarabu hata kidogo anataka kuona nyongo yako inavopanda
 
kuhama tu kiwanja sio suluhisho,la mhimu zaidi ni kujua kwa nini huyo jamaa anakuulizia sana,inwezekana akawa anajiandaa kuweka mitego,hivyo unatakiwa kuendelea kum-monitor zaidi mienendo yake....kazi kwako..:nono::nono:
Ndicho kilichotokea
 
sasa ammonite nani? jamaa au mkewe?
 
huyo anataka bia tu, mwagizie round kam 3 hivi mfululizo, atatulia mwenyewe!
Atakwambia nia yake......... au anachofahamu juu ya mkeo.......... ila wakati mwingine ni vizuri kutokuchokoa
mambo haswa yaliopita .......... ukimchokoa kuku hutomla..............
 
kuhama tu kiwanja sio suluhisho,la mhimu zaidi ni kujua kwa nini huyo jamaa anakuulizia sana,inwezekana akawa anajiandaa kuweka mitego,hivyo unatakiwa kuendelea kum-monitor zaidi mienendo yake....kazi kwako..:nono::nono:

Thats right as the Don Corleone said in the God Father, "Put your friends close and your enemies closer"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom