Ina maana tulikuwa tunadanganywa? Toka Magufuli awe Rais, uchumi haukuwahi kukuwa zaidi ya 6.8 kwa mujibu wa Report ya IMF

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
According to IMF report 2019. Uchumi wa tz toka 2016 haukuwai kukuwa ( GDP) zaidi ya 6.8. Ambayo ni tofaut ya 7.0-7.1 tuliyokuwa tukitajiwa na viongozi wetu kwenye majukwaa ya kisiasa.

Screenshot_20190423-225127_OfficeSuite.jpeg

Inaonekana walikuwa wakitaja Projected GDP na sio real GDP.

Mwenye macho haambiwi ona na mwenye masikio haambiwi sikia. Wanasiasa wa Africa wanatakiwa kutambua kuwa " They can cheat election results but not economic principals
 
Jitihada zote za kufunika kila kitu waTanzania wasione na kufikiri sasa zinaonekana zililenga nini.

Yote haya ni kuzidi kuwadidimiza waTanzania na kuwanyima ufahamu wanaotakiwa kuwa nao juu ya maisha yao. Sasa wanatakiwa wawe watu wa kuambiwa tu na serikali jinsi maisha yao yanavyo inukia kwa takwimu wanazolishwa na serikali. Hawatakiwi kuhoji hizo takwimu hata kama maisha yao wanaona yanadidimia, kinyume kabisa na takwimu wanazolishwa!

Ukweli ni kwamba serikali yetu inatutaka tuzidi kuwa wajinga.
 
Ndo walikuja na sheria ya takwimu, kwamba wao tu ndio wawe chanzo cha tahrifa pia takwimu na takwimu za tangu mda huo zilijaa uongo mtupu.

Kifupi wajue tu kuwa watanganyika wa karne hii si wadanganyika any more ivyo wajue ukweli ni vigumu kuuficha mengine watayofanywa ni km ngonjera tu
 
Back
Top Bottom