upako umewakolea ,sio?Ndo tunashangaa hawa wa Arusha wameshukiwa na upako wa aina gani.
ndio uhame chama???ina maana wewe bado hujamwelewa Rais JPM?????
hapa kazi mpaka 2020 nyumbu mtabakiwa na madiwani watano wasiojielewaNi muda zaidi ya mwenzi madiwani watano kutoka Jimbo la Arumeru Mashariki wameshajiuluzu nafasi zao .
Madiwani wote ambayo wamejiuzulu nafasi zao wanatoka upinzani kwenda CCM wote wametoa sababu zinafanana
kwamba wanaaachia nafasi zao za udiwani kwa ajili kuunga mkono utendaji wa Raisi Magufuli ina maana ni madiwani wa Arusha tu ndiyo wanaomuelewa Rais? inakuaje hawa madiwani wa hapa Dar es salaam ambao wako jirani naye hawamuelewi?
Imefikia hatua sasa mnapotutangazia diwani wa upinzani kajiuzulu, Msiache kutuambia kwenye zile Billion 2 mlizotenga kununua madiwani, Kila diwani ambaye anajiziulu kwa kumuunga mkono Raisi anapewa sh ngapi?
Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari amesema madiwani watano CHADEMA waliojivua madaraka ni biashara ya kisiasa kwa kuwa wamenunuliwa.Ukiona vifaranga wanarukaruka juu ya chungu ujue baba yao hayuko mbali,nadhani muda si mrefu joshua nassari atafuata ndio maana unaona kuna ukimyaaa mkubwa kutoka kwake
Hayo yote muulizeni be.Joshua Nassar.
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
hapa kazi mpaka 2020 nyumbu mtabakiwa na madiwani watano wasiojielewa
Mwenyekiti kuuza chama na kukitoa chama kwenye misingi yake sawa...ila madiwani nao kuhama chama na kumuunga mkono Rais kwa kuwa chama kimeacha misingi yake si sawa.
Na mkae chini mapema mjitathmini mana huko kaskazini ndio ngome yenu kuu, mikoani nako wakija kubumbuluka mjue shughuli ndo imeisha kabisa.
Madiwani na wenyeviti wanajiuzulu kote kwa Nassari na kwa lema lakini mnataka kumvua uanachama Nassari.Huyu ambaye amejiuzulu jana nimempa sh ngapi kwenye zile Billion 2?
View attachment 540125
ukweli utajulikanaWeka hadharani huo ushahidi wako, hivi kweli chadema kwa mnavyopenda kesi na kiki muwe na ushahidi mnaishia kulia mitandaoni tu.
Ni kama yale ya mbowe aliedai ana ushahidi wabunge kupewa milioni 10,kaambiwa weka ushahidi mpaka leo kimya