Ina maana ni madiwani wa Arusha tu ndiyo wanaomuelewa Rais? inakuaje hawa madiwani wa hapa Dar ??

Ni muda zaidi ya mwenzi madiwani watano kutoka Jimbo la Arumeru Mashariki wameshajiuluzu nafasi zao .
Madiwani wote ambayo wamejiuzulu nafasi zao wanatoka upinzani kwenda CCM wote wametoa sababu zinafanana
kwamba wanaaachia nafasi zao za udiwani kwa ajili kuunga mkono utendaji wa Raisi Magufuli ina maana ni madiwani wa Arusha tu ndiyo wanaomuelewa Rais? inakuaje hawa madiwani wa hapa Dar es salaam ambao wako jirani naye hawamuelewi?
Imefikia hatua sasa mnapotutangazia diwani wa upinzani kajiuzulu, Msiache kutuambia kwenye zile Billion 2 mlizotenga kununua madiwani, Kila diwani ambaye anajiziulu kwa kumuunga mkono Raisi anapewa sh ngapi?
Si ni nyie mnaotuambia kaskazini wanajitambua?
Leo limekuwa tatizo kwa madiwani kujitambua na kuamua kuachana na chama cha kisanii?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Si ni nyie mnaotuambia kaskazini wanajitambua?
Leo limekuwa tatizo kwa madiwani kujitambua na kuamua kuachana na chama cha kisanii?
Njaa haijawahi kumwacha mtu salama!ushahidi upo madiwani ambaye wamejiuzulu nafasi zao za udiwani wamepewa pesa na chama chenu.
 
Hivi huwezi kumuunga mkono rais wa chama kingine ukiwa ndani ya chama chako?

Kuna madiwani kibao wa upinzani nchi hii na wanafanya kazi kama kawaida, mbona hatuwasikii wakijiuzulu kwa staili hiyo?

Binadamu mwenye akili timamu ukishakubali kununuliwa kwa manufaa ya upande mwingine utimamu unaondoka na thamani yako inashuka.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Umefafanua vizuri sana wanashindwa hata kutumia akili wote wametoa sababu ambazo zinafanana. ...Binadamu mwenye akili timamu ukishakubali kununuliwa kwa manufaa ya upande mwingine utimamu unaondoka na thamani yako inashuka
 
Akijiuzuru what next?Tunaenda uchaguz mdogo?Au?Costs?

May Allah bless Me and You
 
Hivi huwezi kumuunga mkono rais wa chama kingine ukiwa ndani ya chama chako?

Kuna madiwani kibao wa upinzani nchi hii na wanafanya kazi kama kawaida, mbona hatuwasikii wakijiuzulu kwa staili hiyo?

Binadamu mwenye akili timamu ukishakubali kununuliwa kwa manufaa ya upande mwingine utimamu unaondoka na thamani yako inashuka.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Inawezekana kumuunga mkono rais na bado ukabaki kwenye chama chako lakini hicho chama sio Chalema
 
CCM inatumia nguvu kubwa sana hapa Arusha, wanataka waonekane kuwa wanakubalika lakini muda utasema.
Waende na Iringa mjini. Kale kamaza kanafunga hijabu kamejaribu kuwatisha watumishi (mkuu wa mkoa) kameshindwa. Nilikuwa pale kama mwaka mmoja hivi. Yule mama zaidi ya matusi ya kinyamwezi hawawezi wahehe. Akaulize kwenye kaburi la Kleruu. Shuba ze mit!
 
92927e3b16d615022da4e887c10f79bb.jpg
 
mambo yaaaa ajabu ivi hekima na akili zao wamezikalia ama haiwezekani MTU unamua kumuunga mkono rais kwa kujiuzulu....yaaan ukishaitwa mwananchi watanzania automatically lazima utafuata kile rais anachosema sasa haiwezekani unajivua udiwani na chama kisa kufata chama cha rais huo ni ubumbuazi........uchaguzi wakurudia tutaona kama watapata hivyo vyeo kwa vyama vingine .....kuwa na msimamo thabiti kama kazi yako ni kutumikia wananchi tumikia sio biashara za kuunga mkono ...umesikia amevunjika

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa kanifurahisha humu yaani jpm anajidai anachukia rushwa halafu mkono wke mwingine anatoa rushwa kwa madiwani wa arumeru wamuunge mkono hahahahaha! siasa za kishamba kweli jamaa bado mshamba sana
 
Siasa za Jamaa ni za ajabu sana
Huku anapinga rushwa,mkono huu anatoa rushwa...Hataki kabisa kupingwa,hajakuwa katika utamadunu wa kupingwa.

Nilikuwa najiuliza sana,ila aliposema kuwa kauza furu na maziwa ya mgando,nikapata jibu
Mkuu barafu yaani stress zote nilizokua nazo leo yaani nimefurahi mno kwa mchango wako huu.jamaa kweli mshamba sana siasa zake za kizamani yaani analazimisha kupendwa kwa kutumia fedha halafu anadhani watu hawajui hahahaha!
 
Naanza kuelewa kwa nini sokwe wa mwanzo kabisa duniani aligundulika Africa na sio New York

Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
 
Hata wakimchukuwa mbowe, Lissu, na wengine wengi tu.. We just don't care hata Kidogo.. Ila no more fisiem.. It's over this time arrounds

Sent from my C6833 using JamiiForums mobile app
 
Njaa haijawahi kumwacha mtu salama!ushahidi upo madiwani ambaye wamejiuzulu nafasi zao za udiwani wamepewa pesa na chama chenu.
Weka hadharani huo ushahidi wako, hivi kweli chadema kwa mnavyopenda kesi na kiki muwe na ushahidi mnaishia kulia mitandaoni tu.
Ni kama yale ya mbowe aliedai ana ushahidi wabunge kupewa milioni 10,kaambiwa weka ushahidi mpaka leo kimya
 
Back
Top Bottom