Ina maana ni madiwani wa Arusha tu ndiyo wanaomuelewa Rais? inakuaje hawa madiwani wa hapa Dar ??

Ukiona vifaranga wanarukaruka juu ya chungu ujue baba yao hayuko mbali,nadhani muda si mrefu joshua nassari atafuata ndio maana unaona kuna ukimyaaa mkubwa kutoka kwake
 
Labda hao madiwani wanaelewa kuwa, kuwa na madaraka katika chama kisicho shika dola, (chama cha upinzani) ni kumpinga raisi na chama tawala, na sio jambo la demekrasia.
Kuna umuhimu wa kufanya semina elekezi kwa viongozi wa kisiasa katika ngazi zote.
 
Mwenyekiti kuuza chama na kukitoa chama kwenye misingi yake sawa...ila madiwani nao kuhama chama na kumuunga mkono Rais kwa kuwa chama kimeacha misingi yake si sawa.

Na mkae chini mapema mjitathmini mana huko kaskazini ndio ngome yenu kuu, mikoani nako wakija kubumbuluka mjue shughuli ndo imeisha kabisa.
 
Ni muda zaidi ya mwenzi madiwani watano kutoka Jimbo la Arumeru Mashariki wameshajiuluzu nafasi zao .
Madiwani wote ambayo wamejiuzulu nafasi zao wanatoka upinzani kwenda CCM wote wametoa sababu zinafanana
kwamba wanaaachia nafasi zao za udiwani kwa ajili kuunga mkono utendaji wa Raisi Magufuli ina maana ni madiwani wa Arusha tu ndiyo wanaomuelewa Rais? inakuaje hawa madiwani wa hapa Dar es salaam ambao wako jirani naye hawamuelewi?
Imefikia hatua sasa mnapotutangazia diwani wa upinzani kajiuzulu, Msiache kutuambia kwenye zile Billion 2 mlizotenga kununua madiwani, Kila diwani ambaye anajiziulu kwa kumuunga mkono Raisi anapewa sh ngapi?
hapa kazi mpaka 2020 nyumbu mtabakiwa na madiwani watano wasiojielewa
 
~~~>>>Hao jamaa ni viazi, nafikiri ukiwa kiongozi una nafasi nzuri ya kumuunga raisi kwa vitendo kwa kusimamia sera zake kuliko ukiwa Mwananchi wa kawaida..


●Diwani ana jukumu la kusimamia miradi ya maendeleo ktk Kata.... Akiondoka atawezaje kumuunga mkono raisi wakati hana mamlaka ya kusimamia tena miradi??


●Diwani anaingia ktk vikao vya "Kanseli"... Hivyo ana wajibu wa kuhoji jambo lolote na akapatiwa ufafanuzi.....

Mf. Anaweza kuhoji Ubadhirifu, utekelezaji wa miradi mbalimbali.

●Diwani ni kiunganishi kati ya Mkurugenzi na Wananchi......



Sasa akiacha Udiwani kwa kisingizio cha kumuunga mkono Raisi hapo ndipo ninaposhindwa kuwaelewa.
 
Hayo yote muulizeni be.Joshua Nassar.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Hili suala ni lazima CHADEMA walifanyie ufuatiliaji wa haraka na kwa ukaribu. Kuna kitu kinafanywa ambacho lengo lake ni kuiua chama na wameeanza na mkoa wa Arusha strategically. Issue kwamba madiwani wanamuelewa Rais ni jambo la uongo na haliingi akilini. Lakini hili pia liwe funzo kwa chama kuwapa shule madiwani wake ili kujua nini haswa majukumu yao kwa taifa, wananchi wao na chama. Hawa watu wananufaishwa kwa njia moja au nyingine si bure

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona vifaranga wanarukaruka juu ya chungu ujue baba yao hayuko mbali,nadhani muda si mrefu joshua nassari atafuata ndio maana unaona kuna ukimyaaa mkubwa kutoka kwake
Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari amesema madiwani watano CHADEMA waliojivua madaraka ni biashara ya kisiasa kwa kuwa wamenunuliwa.
Hayo yote muulizeni be.Joshua Nassar.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
hapa kazi mpaka 2020 nyumbu mtabakiwa na madiwani watano wasiojielewa
Mwenyekiti kuuza chama na kukitoa chama kwenye misingi yake sawa...ila madiwani nao kuhama chama na kumuunga mkono Rais kwa kuwa chama kimeacha misingi yake si sawa.

Na mkae chini mapema mjitathmini mana huko kaskazini ndio ngome yenu kuu, mikoani nako wakija kubumbuluka mjue shughuli ndo imeisha kabisa.
 
Wakianza kuachia ngazi usije kulialia hapa eti wamenunuliwa
Huyu ambaye amejiuzulu jana nimempa sh ngapi kwenye zile Billion 2?
tmp_26456-Screenshot_2017-07-12-09-08-46955129504.png
 
Weka hadharani huo ushahidi wako, hivi kweli chadema kwa mnavyopenda kesi na kiki muwe na ushahidi mnaishia kulia mitandaoni tu.
Ni kama yale ya mbowe aliedai ana ushahidi wabunge kupewa milioni 10,kaambiwa weka ushahidi mpaka leo kimya
ukweli utajulikana
IMG_20170827_202309.jpg
 
Back
Top Bottom