Ina maana JF humu wote ni wasomi kumbe?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Kumbe ndo nimegundua JF humu wote ni wazee wenye elimu zao bana. Mada zinachambuliwa na kudadavuliwa mpaka huwa nasema kumbe Tanzania tuna wasomi. Labda mimi tu ndo wa kichinichini.

Tena alisikika na mmoja akisema ladies wa humu ndo vichwa hatari. Yaani ni vyuo vimetulia humu.
 
Wenzio wanalalamika siku hizi jf inawajinga wengi wewe unaona inawasomi wengi. Hapo tuu ndio napoipendaga jf.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom