In the Dutch Eredivisie, PSV Eindhoven have beaten Feyenoord 10-0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In the Dutch Eredivisie, PSV Eindhoven have beaten Feyenoord 10-0

Discussion in 'Sports' started by Ng'wanangwa, Oct 24, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
 2. g

  gutierez JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  duh,hii kali,ingekuwa england kila mtu angejua,na hii feyenoord ni timu kubwa ina historia kubwa ktk soka kuliko hata chelsea na arsenal,walikuwa mabingwa wa uefa champions ligi 1969-1970
  LiveScore.com
  na ndio kipigo kikubwa ktk historia yao ya soka kufungwa toka ianzishwe,kocha wa taifa wa uholanzi ktk world cup 2010 ndie aliwabebesha uefa europa cup inaitwa siku hizi mwaka 2002
  nadhani Craig Bellamy kaumia sana maana ndio timu anayoisapoti
   
 3. M

  Matarese JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Niliangalia hiyo mechi jana, PSV were too strong for these guys, hasa Affelay, Lens na Reis. Cha kuchangaza baada ya mechi website ya Feyernood ilipotea wakaweka tangazo kuwa wapo kwenye maintenance. Baada ya masaa kadhaa ikapotea kabisa na kuwa replaced na error message!
  Ila kwa klabu kubwa kama Feyernood, this is a disgrace! hata mdau Van Persie alitoka huku kabla hajatua Arsenal, sijui anajisikiaje sasa
   
 4. g

  gutierez JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133

  Umenichekesha sana eti hata website yao walikata matangazo:smile-big: na Dirk kuyt nae katoka huko kabla kutua bwawa la maini liverpool
   
 5. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Soka ndivyo ilivyo,one mistake,one goal, ten mistakes.......! Uzuri wamekubali matokeo na wametangaza kutomtimua kocha.
   
 6. M

  Matarese JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35


  Kwa hilo hata nami nawapongeza sijui ingekuwa ni simba na/au yanga ingekuweje!   
 7. g

  gutierez JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  kweli kabisa,sipati picha ingekuwa ndio chelsea na mahela yao,kuanzia Abramovich na mashabiki wao mamluki ungesikia oh kocha hatumtaki hatufai na anatimuliwa,ila kwa wenye kujua soka wanajua kushinda,sare na kushindwa ni matokeo 1wapo ktk mchezo,na hata ktk msimamo wapo chini,sasa kwa washabiki ambao mimi nawaita mashabiki maandazi ambao wao wanajua timu mpaka ishinde tu kila siku utawasikia kocha fulani hafai au wachezaji fulani hawafai utadhani wao wana uwezo wa kuwa makocha,lazima tujifunze na soka linahitaji ustahimilivu sio kushinda kila siku tu.
   
 8. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Very sad, It's a shame naona Feyernood inakufa, wachezaji wengi wa Eerste divisie wamehamia kwenye EPL, La liga, Serie A hata Bundesliga, kwa Feyenoord ambayo ni timu ya watu, hii ni majonzi, nakumbuka miaka ile ya 1992 tunaenda kule mitaa ya Rotterdam ili tu kuwaona wachezaji kwa vile wachezaji wa Feyernood wanajichanya sana mitaani, kama pale mitaa ya niuewe binenweg kuna restaurant ya wasurinami utawakuta akina Van Gobel na Henrik Larson wamejichanganya wanapiga stori, na ukiingia klabu Ahoy jumapili utawabamba wachezaji vilevile. timu ile ya 93 ya akina De Goey, Witschge, Blinker iliyochukua ubingwa ilikuwa kiboko.
  "Het breekt mijn hart!! Zo droevig om FEYENOORD te zien daalde" "Verbeter je zelf, geen woorden maar daden"
   
 9. g

  gutierez JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ik hou van Feyenoord:smile-big: licha ya kufungwa lol!
   
Loading...