Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Unajua tunakoelekea kuna watu wanaenda kanisani na wengine miskitini lakini watakuja kuchomwa moto kwa sababu ya siasa.
Dunia kupitia mamlaka zake za hewa na Anga zilitabiri ujio wa kimbunga cha JOBO ambacho kingeipiga Tanzania upande wa Pwani...dunia ilitegemea madhara mengi na ya kutisha lakini Mungu katuokoa kama alivyofanya kwenye korona.
Hivi ukisema Mungu ametuokoa unapungukiwa na nini wewe MwanaChadema! Ina maana kwa akili yako uamini katika miujiza au elimu yako ni kubwa kuliko hao wanaanga na meteorologists wa duniani?
Kumbuka Mungu anasema elimu dunia kwake ni upumbavu tu...kumfikia sio leo wala kesho....