In Mpanda

Unabahati mbaya sana mkuu! Pinda yupo Mara. Cheki na Arfi. Lol...!

Guys, mnenifurahisha sana!! Katavi na Sumbalawinyo toka waone lami wamegoma kurudi kwao kwenye vumbi!!
@M-Pesa
Bar za huku sio tamu

Guys, mnenifurahisha sana!! Katavi na Sumbalawinyo toka waone lami wamegoma kurudi kwao kwenye vumbi!!

@M-Pesa

Bar za huku sio tamu

Hahahahahahaha! Hivi Mr.ChweChwe wa wapi?

Guys, mnenifurahisha sana!! Katavi na Sumbalawinyo toka waone lami wamegoma kurudi kwao kwenye vumbi!!

@M-Pesa

Bar za huku sio tamu

smart1 hivi umefika mpanda au unahadithiwa?mpanda ilikua na vumbi zamani sio leo ktk upm wa pinda,mtoto wa mkulima kiboko bana lami itaenda mpk chooni,hata makanyagio itafika,mpanda nimekwenda kibiashara pia panakuwa mkoa wa katavi mambo yanaenda mbelekwambele.

Guys, mnenifurahisha sana!! Katavi na Sumbalawinyo toka waone lami wamegoma kurudi kwao kwenye vumbi!!

@M-Pesa

Bar za huku sio tamu

smart 1,mpanda mbona lami ipo,toka pinda awe pm mambo poa lami mpk makanyagio,pia tayar mpn inakuwa katavi mkoa mambo yataenda kwa kasi,mtoto wamkulima sio mchezo.

Back
Top Bottom