In love, it’s about teamwork

Hahahahaha lol! Shemeji kuunga juu kwa juu ndiyo aje? :)

Hahahahah Shemeji kuunga juu kwa juu sie ni kumaliza kila kitu tuje tutoe ushuhuda tu hapa lol

(We utanfanya nimtishe Soulmate bure - aone mtoto wa kike nataka kumbaka bure)

Soulmate Mambo? Mzima wewe?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahah Shemeji kuunga juu kwa juu sie ni kumaliza kila kitu tuje tutoe ushuhuda tu hapa lol

(We utanfanya nimtishe Soulmate bure - aone mtoto wa kike nataka kumbaka bure)

Soulmate Mambo? Mzima wewe?

Bora iwe hivyo Shem kuunga juu kwa juu halafu mkaleta ushuhuda maana naona wanga :):) wanataka kukurushia soulmate wako maana ameshaanza magutumagutu labda anataka kubakwa na soulmate wake LOL!
 
Sasa best ina maana part ya kwanza umeigomea? Kuna dada alikatiza mjini akasimuliwa habari ya viuno, kwenda kujaribisha home zoezi liliishia hapo na ugomvi wa kutosha. Alionekana cheater!
Kwenye relationship nyingi, hii topic ni ngumu sana aisee. Haijadiliki bila kuishia kwa mwanamke kuomba msamaha..
This bring the point that "couples need to be friends" period. kama mtakuwa friends hamtaogopa kujadiliana mambo ya kuijenga ndoa yenu.
kuna siku nikiwa na rafiki zangu walipita kununua shanga, na mimi kikawaida huwa situmii shanga, nikasema ngoja nijaribu, nikanunua moja, nilipofika home nikamwambia rafiki leo nimenunua hii, unapenda? tukakubaliana tujaribu. na sidhani kama alinifikiria vibaya maana angeniambia
 
Mhhhh! FP! Haya bana :):)...lakini uliyosema ni kweli kabisa..haiwezekani mkawa couples halafu msiwe marafiki...Nakutakia weekend njema.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom