In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar

Nyie mnajua kama mnamsema mkuu wa wilaya fulani kule kusini mwa nchi yetu?......Nafikiri wadhifa huo bado anao.
 
Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi

Aah,Naapee, naona unajibu kwa kiburi ile mbaya! Poa uko kwenye nafasi ya kufanya hivyo ila siku moja utaja yameza maneno yako.
 
Nape ni hivi piga garagaza pigana hali ya nyumba za NHC zinunulike. Otherwise nyie mnaokula nyama ya kondoo nyumaq ya mapazia mtatumaliza. Acha unafiki ingia kila mahali tetea hilo usiangalie magamba mamagamba tumechoka. acheni uesnge
 
Wakuu heshima mbele sana, yaani page karibu sita na sioni hoja ya kulisaidia taifa vipi siku hizi huku kumekuwaje? I mean hizi siasa za makengeza mbona mtalimaliza taifa Chadema imejaza watoto na ndugu wa viongozi wenu lakini hamuwaoni ila tatizo linakuwa CCM tu, hizi hoja jamani zimepitwa na wakati sasa tuangalie taifa kwanza badala ya siasa za majina ambazo ndio zimelifikisha taifa hapa lilipo!

- Kwa kawaida Chadema huwa mnatuogopesha sana na kauli zenu ambao huwa ni za makengeza sana, mara mtukane wazee wa CCM lakini kumbe in the process mnawatukana hata wazee wa huko kina Ndesamburo, siasa za kulipiua mabomu na kutukana Viongozi na wananchi wao bila sababu wananchi wamezikataa Igunga, sasa badilisheni strategy, ndio maana Lema anawasumbueni maana ameshajua kwamba hamumtaki, sasa anakatalia Jela ili kusudi mumtukane ajiweke sawa na wananchi, Chadema mnahitaji sana watu wa kuwasaidia ushauri maana sasa mnatoka nje ya mistari ya siasa za kuweakomboa wananchi!

- I mean The whole topic ni matusi kwa Nape, hivi kesho na keshokutwa Nape akiamua kuingia chama chenu mtafanya nini na haya matusi, maana si mtakumbushwa I mean mimi nilidhani JF tunasimamia taifa, lakini siku hizi tumejikita sana kwenye vyama inasikitisha sana maana imekwua kama Yanga na Simba, please people turudie tena tulipokuwa zamani, JF kumkoma nyani tulikuwa tunapigqa za usoni bila kujali chama!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
 
hivi nape bado ni DC? duh, anakunja mishahara yote na ule wa CCM na bado anajipa trips za nje apate per-diems. Kesho utasikia ni m'kiti wa shirika fulani. Ufisadi jamani
 
Nape is a big Joke..........
Ngoja mtaona fate yake ndani ya chama chake.........na urembo wake labda anaweza kuungana na akina Cameroon kujipatia kipato..
 
Wakuu heshima mbele sana, yaani page karibu sita na sioni hoja ya kulisaidia taifa vipi siku hizi huku kumekuwaje? I mean hizi siasa za makengeza mbona mtalimaliza taifa Chadema imejaza watoto na ndugu wa viongozi wenu lakini hamuwaoni ila tatizo linakuwa CCM tu, hizi hoja jamani zimepitwa na wakati sasa tuangalie taifa kwanza badala ya siasa za majina ambazo ndio zimelifikisha taifa hapa lilipo!

- Kwa kawaida Chadema huwa mnatuogopesha sana na kauli zenu ambao huwa ni za makengeza sana, mara mtukane wazee wa CCM lakini kumbe in the process mnawatukana hata wazee wa huko kina Ndesamburo, siasa za kulipiua mabomu na kutukana Viongozi na wananchi wao bila sababu wananchi wamezikataa Igunga, sasa badilisheni strategy, ndio maana Lema anawasumbueni maana ameshajua kwamba hamumtaki, sasa anakatalia Jela ili kusudi mumtukane ajiweke sawa na wananchi, Chadema mnahitaji sana watu wa kuwasaidia ushauri maana sasa mnatoka nje ya mistari ya siasa za kuweakomboa wananchi!

- I mean The whole topic ni matusi kwa Nape, hivi kesho na keshokutwa Nape akiamua kuingia chama chenu mtafanya nini na haya matusi, maana si mtakumbushwa I mean mimi nilidhani JF tunasimamia taifa, lakini siku hizi tumejikita sana kwenye vyama inasikitisha sana maana imekwua kama Yanga na Simba, please people turudie tena tulipokuwa zamani, JF kumkoma nyani tulikuwa tunapigqa za usoni bila kujali chama!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
Wewe rudibongo uje kuliendeleza taifa hili..........unakaanga chips na maandazi huko wakati Mama/baba lishe huku bongo wana-make pia na kuchania maendeleo ya nchi hii yenye wakoloni weusi.
 
Wakuu heshima mbele sana, yaani page karibu sita na sioni hoja ya kulisaidia taifa vipi siku hizi huku kumekuwaje? I mean hizi siasa za makengeza mbona mtalimaliza taifa Chadema imejaza watoto na ndugu wa viongozi wenu lakini hamuwaoni ila tatizo linakuwa CCM tu, hizi hoja jamani zimepitwa na wakati sasa tuangalie taifa kwanza badala ya siasa za majina ambazo ndio zimelifikisha taifa hapa lilipo!

- Kwa kawaida Chadema huwa mnatuogopesha sana na kauli zenu ambao huwa ni za makengeza sana, mara mtukane wazee wa CCM lakini kumbe in the process mnawatukana hata wazee wa huko kina Ndesamburo, siasa za kulipiua mabomu na kutukana Viongozi na wananchi wao bila sababu wananchi wamezikataa Igunga, sasa badilisheni strategy,
ndio maana Lema anawasumbueni maana ameshajua kwamba hamumtaki, sasa anakatalia Jela ili kusudi mumtukane ajiweke sawa na wananchi, Chadema mnahitaji sana watu wa kuwasaidia ushauri maana sasa mnatoka nje ya mistari ya siasa za kuweakomboa wananchi!

- I mean The whole topic ni matusi kwa Nape, hivi kesho na keshokutwa Nape akiamua kuingia chama chenu mtafanya nini na haya matusi, maana si mtakumbushwa I mean mimi nilidhani JF tunasimamia taifa, lakini siku hizi tumejikita sana kwenye vyama inasikitisha sana maana imekwua kama Yanga na Simba, please people turudie tena tulipokuwa zamani, JF kumkoma nyani tulikuwa tunapigqa za usoni bila kujali chama!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Hapo kwenye red inadhihirisha cha ukweli ambacho nape anakuambia ni jina lake tu, mengine yote anakupulizia makelele maskioni kama vuvuzela. Nape hawezi kuingia CDM, hata kama akiamua kuingia labda awe mwanachama wa kawaida kama wengine so kutakuwa hakuna la kuzungumza kuhusiana na kapurwa huyu.
 
jmshi1, kwani hukusikia maneno ya Nnape huko Mwanza? Usifikiri hayo ni maneno yangu ila maneno ya Nnape mwenyewe.

Aliwaambia Ngosha wa Mwanza kuwa kama wanawashwa, basi atawashikisha ukuta, wamuone alivyo kidume.

Sasa Nnape ambaye ni Mwanaume kuwaambia NGOSHA ambao ni Madume kuwa atawashikisha ukuta, SIYO USHOGA HUO?

Au wewe ushoga maana yake nini? Labda kama hili ulikuwa hujalisikia.

Ndiyo hapo nashangaa kuwa Ushoga Tanzania unafanywa na kusemwa hadi na watu wakubwa kama Nnape ila leo tunajifanya wakali kweli kuwa hatutaki ushoga. Aliposema Nnape, ilitakiwa watu tulaani na tuandamane kupinga kauli hiyo. Ila watu kama vile hawajasikia.
Samahani mkuu,sikuwa nafahamu,nashukuru kwa tarifa.
 
Nchi hii tunahitaji kuchapana ili SISI na WAO isiwepo na wote tuongee lugha moja inayofanana na matendo yetu bila hivyo tutapiga mark time sana tu.
 
Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa
?????????????????????????????????????????????????????????
 
Naona Tinga Tinga amekuwa mdogomdogo hivi !

Aisee....

tsn+021.jpg

1972 with Sydney Poitier (left) and Harry Belafonte (right )
 
Wakuu heshima mbele sana, yaani page karibu sita na sioni hoja ya kulisaidia taifa vipi siku hizi huku kumekuwaje? I mean hizi siasa za makengeza mbona mtalimaliza taifa Chadema imejaza watoto na ndugu wa viongozi wenu lakini hamuwaoni ila tatizo linakuwa CCM tu, hizi hoja jamani zimepitwa na wakati sasa tuangalie taifa kwanza badala ya siasa za majina ambazo ndio zimelifikisha taifa hapa lilipo!

- Kwa kawaida Chadema huwa mnatuogopesha sana na kauli zenu ambao huwa ni za makengeza sana, mara mtukane wazee wa CCM lakini kumbe in the process mnawatukana hata wazee wa huko kina Ndesamburo, siasa za kulipiua mabomu na kutukana Viongozi na wananchi wao bila sababu wananchi wamezikataa Igunga, sasa badilisheni strategy, ndio maana Lema anawasumbueni maana ameshajua kwamba hamumtaki, sasa anakatalia Jela ili kusudi mumtukane ajiweke sawa na wananchi, Chadema mnahitaji sana watu wa kuwasaidia ushauri maana sasa mnatoka nje ya mistari ya siasa za kuweakomboa wananchi!

- I mean The whole topic ni matusi kwa Nape, hivi kesho na keshokutwa Nape akiamua kuingia chama chenu mtafanya nini na haya matusi, maana si mtakumbushwa I mean mimi nilidhani JF tunasimamia taifa, lakini siku hizi tumejikita sana kwenye vyama inasikitisha sana maana imekwua kama Yanga na Simba, please people turudie tena tulipokuwa zamani, JF kumkoma nyani tulikuwa tunapigqa za usoni bila kujali chama!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Sounds like wazee wa sauti za umeme....bwaaahahaa
 
Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa
Nimemuonyesha binti yangu Perpetua ana miaka 4 comments zako kaniuliza kama una matatizo ya akili.Nikamwambia hapana,akaniuliza kwa huyu ni nani? nikamwambia.Akasema kumbe hata yule aliekuwa na mzungu(Price Charles) ana matatizo ya akili.Nikamwambia sina uhakika ila kachaguliwa na wananchi akiwemo Salim.Salim ni kijana mmoja wa mtaani kwetu,yeye huwa ana mtindo wa kuvizia kuku za majirani na kuwalawiti majuzi alikamatwa na polisi kwa kosa hilo hilo akakimbilia chooni akajipakaa kinyesi mwili mzima akafanikiwa kuwakimbia polisi.
 
William Malecela
‎@ mUTUZ Good Morning FB: It is Friday you Know! ha! ha! ha! Well, My Babe F is here with me, So! ni Mpango Wangu Mzima, you know I Love the Baby!
- Well, off to the JFK Airport Wazee are leaving today, and So is My Great Friend Mheshimiwa Nape, it was nice to have them here: MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI PEOPLE! - Will Mutuz!

386456_289782994376454_100000342668655_1028823_1598867757_n.jpg

Duuuh siamini, Mzee Tingatinga ndo kachoka hivi? Aaah kweli madaraka mazuri. Pole sana Musee akina Nape wananenepa tu, baada ya miaka miwili atamzidi Musee wa TOT!
 
WILLIAM.....FAHAMU SIO WOTE WANAOMTUKANA NNAPE NI CHADEMA. NI WATANZANIA AMBAO KIMSINGI HASIRA ZAO ZIMECHOCHEWA NA MAJIBU YAKE. NI VIBAYA KUELEZA KUWA MAJIBU YOTE NI YA CHADEMA. BESIDES, NI VEMA KUJUA KUWA UMMA WA WATANZANIA, NA HUSUSANI KIZAZI CHA LEO KIMECHOKA KUONA MAJINI NI YALE YALE WAKATI MAENDELEO HAKUNA YA KUTOSHA NA UWAJIBIKAJI NDANI YA SERIKALI UNA WALAKINI...NA ALIYETUFIKISHA HAPA SI MTU WALA CHAMA KINGINE ZAIDI YA HIKI KILICHOKA MADARAKANI. NI VEMA KUJUA KUWA KWA VILE BINADAMU TUMEUMBWA NA USO WA AIBU, ENDAPO TUNAJUA KUWA WAZAZI WETU HAWAKUFANYA VIZURI WAKIWA MADARAKANI, SISI WATOTO TUJITENGE NA HISIA YA KUWANIA UONGOZI (period). HII ITAWASAIDIA WATU KUTUONA TUNA BUSARA? TANZANIA INA RAIA MIL ZAIDI YA 40, LAKINI INACHEFUA UKIONA MAJINA NI YALE YALE.....JIULIZE. HIVI FAMILIA NYINGINE KATI YA MIL 40 ZINAZAA MATAAHIRA? JE FURSA ZIMEPATIKANA KWA WALE WALE WALE TUU? JE HAKUNA WENYE BUSARA, UBUNIFU, UWEZO WA KUONGOZA MIONGONI MWA WATANZANIA BALI KWENYE FAMILIA ZILE ZILE? SIPENDI KUSIKIA MASUALA YA FAR FETCH EXAMPLES.....OHH MTOTO WA MKULIMA,,,,! HE IS JUST ONE AMONG SO MANY? HII SI NCHI NA SI ZAMA ZA KUTENGENEZA POLITICAL CLOUT! SI ZAMA ZA KUTENGENEZA MONARCH. NILITARAJIA UKEMEE HAYA! KAMA TUNGEFANYA UTAFITI.....UNAWEZA KUJUA ILIVYO VIGUMU KWA WATOTO KUTOKA FAMILIA MASIKINI (AU ZISIZOJULIKANA) KUTOKA! JASHO NA KIWANGO CHA JITIHADA WANAZOFANYA NI KUBWA KICHIZI HADI WAKUBALIWE....WAKATI WENGINE WANATEREMKA TUUUUUUUU! WHERE IS FAIRNESS? HWERE IS JUSTICE? HAYA MAMBO YANAUMA. YUMKINI MIMI NA WEWE TUNAPATA FURSA YA KUJIBISHANA HAPA KWA MTANDAO. LAKINI WALE AMBAO MAISHA YAMEKUWA MAGUMU WANACHOJUA NI KWAMBA KILA MTU ALIYENACHO AMEMWIBIA MASIKINI. KWA HIYO WANA-BIFU NA MWENYE NACHO, HAWAONI SHIDA KUIBA ELFU 50 NA KUKUACHIA KILEMA NA PENGINE WAKUTOE UHAI! HII NI HATARI. TUSITETEE UOVU, WALA UDHARIMU KWA KUWA SISI TUNANUFAIKA NAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE, BALI TUSIMAMIE HAKI BILA USHABIKI WA CHAMA. MI SI MFUASI WA CHAMA CHOCHOTE, LAKINI SIASA NA TARATIBU ZA NCHI YANGU HUNITIA MACHUNGU.

Back
Top Bottom