In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar

NAPE NNAUYE:
It has been the political career of this man to begin with hypocrisy, proceed with arrogance, and finish with contempt...he's quite as unthinkable as an honest buglar...

What I'm sick about is the Meeting in Houston - He did not resolve anything; he left the place people More divided than EVER...

Look how they shower him while he was there a with a DICTATORIAL PRAISE WITH CONTEMPT FINISH

[Nape Nnauye Amaliza Mgogoro Wa Wana CCM Houston Texas Nchini Marekani
* Ageuka kivutio mkutanoni
* Wampa jina Simba wa Vita Mtoto
* Wakubaliana kufungua tawi kila Jimbo
* Wasema kwa mwendo huu CCM jabali ]

Mkuu kwa nini Nape na viongozi wengine wasingewaita nyumbani hao wanaozozana huko Marekani? Kwa nini aende yeye kule? What is the point? Kwa hiyo ikitokea mimgine UK, Russia, Napoli, nk atakuwa anafunga safari kwenda huko kusuluhisha? Kiutawala hii imekaaje?
 

386456_289782994376454_100000342668655_1028823_1598867757_n.jpg

Duh..Huyu mzee wa watu mbona amechoka hivyo??
Wahenga walisema "Uzee ni dawa" ila nadhani walikosea kidogo, ilitakiwa iwe "Uzee hauna dawa". By the way sote ndiko tunakoelekea. Nimpongeze tuu Mzee Malecela kwa kufikia umri huu bado akiwa na akili zake vyema! Wasiwasi wangu ni hili kundi la vijana wanaoendeshwa visivyo na wachumia tumbo wa nchi hii, kwani kama wakipata umri basi wataonekana kama mataahira kwenye uzee wao.
 
Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi
Ivi uyu kapurwa si aliikana hii account ya JF kwa nini mnajibizana naye??
 
Mkuu Nape zamani ulikuwa unatuita wakubwa:



Pia ulikuwa hupendezwi na wakubwa fulani:



Katika posts zako ulikuwa unatanguliza shukrani kwanza na kueleza misimano yako dhabiti with reference:



Ulikuwa unaita watu ndugu:



Ulikuwa unaiheshimu hii forum:



Lakini siku hizi post zako sijui kama zinajenga au kuiharibu hii forum. Mfano:



Tofauti na zamani wakati mwingine sasa unaona baadhi ya watu kama wanafiki. Mfano:





Japokuwa kuna wakati unaamkia mguu wa kulia:



Japokuwa wakati mwingine huwa unaamkia mguu wa kushoto:



Lakini Nape mwanasiasa kijana ni yupi hasa? Je ni huyu?


Au ni huyu?
Wazungu enzi ya slavetrade walitumia janja moja, husema - Mtumwa atakaye kusumbua sana mpe Unyapala! -Ataifanya kazi yako mara mbili kuliko wewe..Namsikitia sana Nape, kijana huyu kwamba analewa madaraka lakini bado mtumwa wa system ile ile.
 
Those were Nape days. He could even hang out with anybody regardless of their party affiliation.

Nape Mnauye.jpg.jpg


But now days he can't even hang around with some people in his own party to the extent ya kuwaita "Waasi".

 
Last edited by a moderator:
Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi

ukirudi niletee bwabwa moja maana huko yapo ya kumwaga mkuu.
 
degree za India mbona huwa zinawafanya kuwa mazuzu sana? Nishakaa na watu kibao makamo yako yaani wengi wenu ni mazuzu. Siamini mwanaume mwenye maumbile kamili anaweza kuongea upupu kama huu.

hakumaliza huyo..
 
Tatizo lako Nape unajisahau kwamba wewe ni kiongozi mkubwa sana wa chama. Unapokuja humu fahamu au tofautisha na majukwaa mengine ya kipumbavu ambako unaweza ukatoa majibu ya kipumbavu bila kuathili "personality" yako. Haya sio majibu au mchango wa kuutoa kwa tuhuma mzito zilizotolewa hapa. Watanzania makini wanaofuatilia maendeleo ya chama chao hawawezi kuuelewa ujuha wako huu. Naona umelewa madaraka uliyopewa bila vigezo.

Huyu kijana either ni kilaza au anijifanya kilaza

Sijawahi kuona cha maana anachojibu hapa

Kama hakutaka kujibu angenyamaza kuliko kujibu upupu..
 
duh bwana jumanne naona kachooka sana aisee au mwili wake kamgawia williamu
 
mKUU hiyo umekiuka sheria za JF name calling
Please mod Do the needful
Acha unafiki ndugu yangu.Hii ni tofauti mkuu wangu,unashangazwa nini na wakati tunajuwa pia gender sensitive ndo Regia Mtema?Najuwa name calling ni kosa lakini hii si sawa na unavyotaka ionekane,its a deffrent case scenario,wewe sema tu unaniombea ban, ni sawa na kumdanganya mtu mzima kuwa mtoto huwa anaenda kuokotwa kisimani.
 
Iwapo kiongozi wa chama anaadika upuuzi, je mwanachama wa kawaida wa chama chake si atakuwa kituko zaidi?
 
dah nape wa zamani kweli alikuwa great thinker wa sasa sijui tumuitaje kwa hii mipasho anayopost humu?
 
Wahenga walisema "Uzee ni dawa" ila nadhani walikosea kidogo, ilitakiwa iwe "Uzee hauna dawa". By the way sote ndiko tunakoelekea. Nimpongeze tuu Mzee Malecela kwa kufikia umri huu bado akiwa na akili zake vyema! Wasiwasi wangu ni hili kundi la vijana wanaoendeshwa visivyo na wachumia tumbo wa nchi hii, kwani kama wakipata umri basi wataonekana kama mataahira kwenye uzee wao.

Jumanne katepweta coz kazidisha kunyoosha goti.
 
Mkuu kwa nini Nape na viongozi wengine wasingewaita nyumbani hao wanaozozana huko Marekani? Kwa nini aende yeye kule? What is the point? Kwa hiyo ikitokea mimgine UK, Russia, Napoli, nk atakuwa anafunga safari kwenda huko kusuluhisha? Kiutawala hii imekaaje?

Wengi wao hawana Makaratasi lakini Mshabiki wakuu wa CCM; Na wengi wao hawapatani, sasa wangapi utawaita nyumbani? Nani atalipa hizo gharama za ticket - CCM? si aheari wamtume huyo Nape Nnauye
 
Back
Top Bottom